SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 348
The meaning of being secrete Agent with special Task is to know the The Risk ahead. Katika kucalcute risk ahead APA watu wengi wanashindwa ndo uwa wengi wanajikuta kuwa na profile fb/ insta kupost picha basii...
Kuwa secrete agent ukiamua kuweka nia ukataka uwe uko unaweza kuwa...
Kazi yenyewe kama inavyojieleza ni secrete agent katika maisha yako usitegemee kuna proper way recruitment kwa watu ambao amko katika majeshi yetu..
Sababu unamuajiri MTU toka nje ukamuweka usalama moja kwa moja the risk is very high ikiwa uyo MTU Serikali aina faili lake ya maisha aliyoishi tofauti na mama...ndugu kati yenu alikuwa anafanya kazi uko kupata inakuwa raisi..
So kama unataka kufanya usalama do impossible thing to challenge them