Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

Acha uongo na umbumbu!! Hizi ni zama za Multi Universities, usitake kudhani bado upo 1990.

Nawafahamu vijana wengi tu wamefanya Bachelor vyuo vingine na wakafanya Masters UDSM na GPA ya 3.8.

Kuna mambo mengi sn ktk tatizo hilo.

Huenda form haikufika (kama alituma posta).

Au hana uzoefu kazini ili hali ktk course hiyo Experience ni MUST.

Au uchazaji wa form, hakuwa mzuri. Haikukamilika.

Na mwisho idadi ya wanafunzi inayo takiwa ktk course kutimia (mf 40/40).

Ushauri: nenda Live chuoni. Upate majibu (sababu za) ya uhakika.

JPM KAMATA WEZI
Ushauri wako nauchukua 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma UDSM palepale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kuna shida may be kwenye application, kwa GPA hiyo ya hapohapo UDSM hawakuachi,na ufatilie tu kuna watu hawatareport so watakuchukua,
Wana kasumba ya kutochukua watu wenye GPA kubwa kutoka vyuo vingine na wenye ndogo wa UDSM wanawabeba.
Nenda ofisi za Directorate of Postgraduate pale Library ulikopeleka forms za maombi (kama ulipeleka kwq mkono) mlango wao unatazama PARKING ya Library ukaongee nao,kisha uwende School of EDUCATION pia,ukaonane na dean wa Post graduate studies.



May Allah bless Me and You
 
course uliyoomba inawezekana ikaleta mmushkeli kulingana na course uliyosemea degree
 
Basi kuna shida may be kwenye application, kwa GPA hiyo ya hapohapo UDSM hawakuachi,na ufatilie tu kuna watu hawatareport so watakuchukua,
Wana kasumba ya kutochukua watu wenye GPA kubwa kutoka vyuo vingine na wenye ndogo wa UDSM wanawabeba.
Nenda ofisi za Directorate of Postgraduate pale Library ulikopeleka forms za maombi (kama ulipeleka kwq mkono) mlango wao unatazama PARKING ya Library ukaongee nao,kisha uwende School of EDUCATION pia,ukaonane na dean wa Post graduate studies.



May Allah bless Me and You
Umenipa mwanga mkuu.
Nitajitahidi kufanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Jamaa nafikiri Maelezo yanakuwepo kwenye website yao kuna Jamaa Yangu pia alitemwa 2011 GPA 4.1 so hiyo ya kwako sidhani kama inatisha sana .

Inatokana na wingi wa watu walioomba kozi husika tu kukuacha nae pia alihangaika akapata sababu akatulia mwaka uliofuata akaomba tena .

"Never stop learning because life never stop teaching"
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu utakuwa umekosea, kuna my broo ana g.p.a 3.5 amechukuliwa hapo
 
Mie naona hawakukosea kukutema. Kama una kiwango hicho cha elimu umetuma maombi na hukuchaguliwa, unakuja kuuliza hapa? Hujui wapi panapostahili kwenda kuuliza. Unauliza hapa. Hata wakikutema sishangai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza omba nje ya Tanzania ubadilishe upepo.ukiweza Kenya,south,Uganda
 
Hiyo GPA yako ya chuo gan? Udsm huwa wanawapa priority wanafunzi wa hapo hata kama yupo chini ya GPA ya mtu ambaye ametoka chuo kingine but sidhan kama ni fair

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom