Recent content by GEDLUV B.M

  1. G

    Nimekatwa 12, 000 kwenye mshahara

    Boss, slips za mshahara huwa zinatufikia miez miwili au mi3 baadae, kwa mfano mpk sasa halmashauri nyingi hatujapata slips za mwezi wa 6!!! Kwahyo ni vigum kwa mwalimu hucka kujua hiyo pesa alokatwa ni ya nini!!!
  2. G

    Kuna Ukweli Wowote Katika Katuni hii ya Gado Kwa Siasa za Afrika?

    Gado ni nani?!! ht hamfikii Diamond platinumz!
  3. G

    Timu ya Samata

    Mechi imeanza saa2:00 inaoneshwa Bein sports 3
  4. G

    Mbunge wa Kibamba, Mnyika atoa madawati 500 jimboni

    Mbona hakufanya hivyo Ubungo?!! Mbna amesubir mpk Rais aseme?!! Je ,ametumia hela zake, za rafk au mfuko wa jimbo?!!
  5. G

    Viongozi UKAWA wakutana faragha

    Mbna wa CUF ni mmoja tu?!! Wako wapi NCCR & NLD?!!!
  6. G

    Dar: Ukikutwa gesti mchana unakamatwa. RC Makonda akanusha kuwatuma askari kufanya msako

    Mbna kamanda Sirro na Makonda wamekanusha na kusema ni Umbea?!!!
  7. G

    Tuache Unafiki na Mihemko; Hongera Rais

    Angelo007 ht rais wa Tanzania nae no binadamu co malaika, anaongea kwa hisia zake!!!
  8. G

    Salum Mwalimu ukitoka mahabusu achana na CHADEMA

    Kuna kaukweli, lbd uweke usahihi kidogo Salum amekamatwa Simiyu co Geita.
  9. G

    Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi

    Mi nimekuelewa Dada Juliana labd ndio staili yao....
  10. G

    Ajira za Walimu kutangazwa leo.

    Sa watatangaza ucku bila kuwepo wanahabari?!
  11. G

    Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    Kauli za Shonza ni km tone la maji baharini kwamba halitaleta utofauti ila kuna mambo ya kujifunza na kuyafanyia kazi ktk aliyoyasema 2simponde tu.
  12. G

    Ajira za Walimu kutangazwa leo.

    Bado hawajatangaza mkuu, matangazo ni yale yale Arsenalized.
Back
Top Bottom