Viongozi UKAWA wakutana faragha

Viongozi UKAWA wakutana faragha

Eti busara iwatale!! Genge la wazee ambao wanapokea mafao yao wamechoka hawa basi tuu kwakua akili yetu na sisi watanzania ni style ya lowasa, kingunge na mbowe tunakubali kuingia kwenye hii genge na namba moja wanaoturudisha nyuma taifa hili kupata maendeleo ni BAVICHA
 
Eti busara iwatale!! Genge la wazee ambao wanapokea mafao yao wamechoka hawa basi tuu kwakua akili yetu na sisi watanzania ni style ya lowasa, kingunge na mbowe tunakubali kuingia kwenye hii genge na namba moja wanaoturudisha nyuma taifa hili kupata maendeleo ni BAVICHA
Kweli mkuu inauma Sana yaani mzee kama lowasa kashakula hela za kutosha ila bado machagadema wanamwona lulu
 
Lowasa hadi mtoto atakayezaliwa kesho atamjua tuu ni fisadi nyangumi halafu unakuja kutuambia etii busara iwatale ukapimwe akili wewe!! Hadi mwalimu mwenyewe alihoji kulikoni wewe kijana halafu Leo bavicha wanamlaki kama mungu wao hao siyo mafisadi wakati vijana sisi ndo inatakiwa tuijenge nchi. Plz BAVICHA badilikeni mbowe na genge lake kina profesa baregu na maalim wana mda mfupi kwenye siasa ya Tanzania
 
View attachment 397072
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (katikati) akiongoza kikao cha viongozi wa UKAWA kinachofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

Dar es Salaam. Viongozi wa UKAWA wamekutana jijini Dar es Salaam kwa kikao cha faragha kinachoendelea muda huu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kinachomshirikisha kada wa zamani wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru, kimewakutanisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu.
Bila shaka wanajadili fyucha ya UKUTA. Kila la kheri.
 
Seif alikimbia kwa msajili alivyoitwa,akadai anaudhuru,kawapeleka makasuku kwa msajili wamepigwa maswali mazito wamechemka,.
Leo kaibukia kwa wasaka tonge wenzake anafanya vikao vya kurudisha chenji iliyobaki, msajili kampa ushindi prof,,
 
Naomba Mwenyezi Mungu awape busara maradufu ili yale wanayojadili na kuamua yawe ni kwa manufaa ya Nchi yetu inayovurugwa na wababe wasio upeo wa uongozi.
Tangu lini mwanasiasa akafanya jambo kwa manufaa yako. Cha msingi ni kuchagua upande wa kushabikia ila don't expect anything good for your development.
 
Ndo maana nikakwambia UKAWA ya maalif na mbowe ni genge la kupiga dili !! Hapo maalim ameishiwa kiaina sasa akaona hali ni mbaya inabidi atafute kitu kwa fisadi nyangumi
 
Back
Top Bottom