Kuna Ukweli Wowote Katika Katuni hii ya Gado Kwa Siasa za Afrika?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,793
71,206
ImageUploadedByJamiiForums1474558727.598515.jpg

Jee ni kweli kuwa hao wote wanane ni madikteta hapa Afrika? Kwanini wetu kajikuta kaingizwa kwenye orodha ya hiyo mapema hivi wakati wengi waliotajwa ni wale wa muda mrefu?
 
Kama Rais Kagame hayupo kwenye kundi la marais dikteta basi nchi za Afrika hazina Rais Dikteta!

Mlengwa wa hizo katuni ni Rais Magufuli!

Hizo katuni za Marais wengine ni kujazia hoja tu!

Huyu Gado hawezi kumzodoa Rais Kagema kwa sababu anafahamu vizuri kuwa Rais Kagame huwatafuta na kuwafuata popote waliko wale wanaomzodoa ili awape RIP ya milele.

Gado anacheza ngoma anayoweza kuicheza na anafahamu hawezi kujaribu kucheza ngoma ya Rais Kagame huku akiishi Kenya labda kama anataka kupewa haraka RIP ya milele kutoka kwa majasusi ya Rais Kagame.
 
Huyo gado kwishwa mbovu!!!ayofautishe rais mkali na dictator!! stupid mind!!atakuwa alipwa na mafisaid!!
 
View attachment 405035
Jee ni kweli kuwa hao wote wanane ni madikteta hapa Afrika? Kwa nini wetu kajikuta kaingizwa kwenye orodha ya hiyo mapema hivi wakati wengi waliotajwa ni wale wa muda mrefu?
baada ya kuona bandiko hii nimenote yafuatayo;
-chakaza wewe ni mchochezi
-gado ameendeleza sifa baada ya kupewa tuzo kwa ajili ya hivyo vikatuni vyake
-gado ameogopa kumchora kagame kwa sababu anaujua mziki wake. kagame hachelewi kumrestisha katika pisi ya milele
-watz hamueleweki mnataka nini? maana alipokuwa JK mpole mkasema tunataka dikteta. sasa jk kawapatia rais mkali mmeanza kulalama tena. mmekuwa kama wana wa Israel!
 
Kama Rais Kagame hayupo kwenye kundi la marais dikteta basi nchi za Afrika hazina Rais Dikteta!

Mlengwa wa hizo katuni ni Rais Magufuli!

Hizo katuni za Marais wengine ni kujazia hoja tu!

Huyu Gado hawezi kumzodoa Rais Kagema kwa sababu anafahamu vizuri kuwa Rais Kagame huwatafuta na kuwafuata popote waliko wale wanaomzodoa ili awape RIP ya milele.

Gado anacheza ngoma anayoweza kuicheza na anafahamu hawezi kujaribu kucheza ngoma ya Rais Kagame huku akiishi Kenya labda kama anataka kupewa haraka RIP ya milele kutoka kwa majasusi ya Rais Kagame.
Kumbe wewe ni mkristo? Nimeona leo umekiri kuwa yesu ni Bwana.
 
Kama Rais Kagame hayupo kwenye kundi la marais dikteta basi nchi za Afrika hazina Rais Dikteta!

Mlengwa wa hizo katuni ni Rais Magufuli!

Hizo katuni za Marais wengine ni kujazia hoja tu!

Huyu Gado hawezi kumzodoa Rais Kagema kwa sababu anafahamu vizuri kuwa Rais Kagame huwatafuta na kuwafuata popote waliko wale wanaomzodoa ili awape RIP ya milele.

Gado anacheza ngoma anayoweza kuicheza na anafahamu hawezi kujaribu kucheza ngoma ya Rais Kagame huku akiishi Kenya labda kama anataka kupewa haraka RIP ya milele kutoka kwa majasusi ya Rais Kagame.
Kumbe!Kumbe kama angemchora Kagame,angeshtukia kitu cha Moto kimepenya katika kichwa chake!dah
 
Back
Top Bottom