Lowasa ndo hana cha kuwambia wananchi,alishindwa kusoma sentensi ilioandkwa!:NIMEAMUA RASMI KUJITOA KWENYE CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA kweny hotuba yake ya siku ya kwanza alipojiunga na chama hcho!! Hawez hata kuongea jambo dogo bila kusoma!!!
Endelea tu kunusa mkuu!!unajua kila mtu anapenda harufu yake, wengne wanapenda harufu ya vumbi likilowa wengne wanapenda mbolea ya nguruwe,wengne viatu, sasa wewe unapenda harufu ya chupi dah pole sana
Mkuu nina swali hapo kwenye vipimo vya HIV kuwa ni feki naomba unifafanulie je walitumia vipimo hivyo mpaka sasa wafanyaje warudie tena kupima na kipimo sahihi? Na kipimo hicho sahihi ni kipi?
Azihifadh popote bali atawarudishia pumzi mpya!!fikiria Inakuaje pale unapojaza upepo kwenye tairi ya baiskel na kuutoa hapo baadae je uwa unarud kweny pampu??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.