Katika pita pita zangu Leo nimekutana na kundi la watu wa kike na wakiume wakibishana baadhi ya upande wa kike wamelalamika kuwa wanaume wengi huwa ni wagumu kusema neno samahani au naomba unisamehe hata kama kafanya yy kosa kuomba samahan ni shughuli mmh huku wanaume wanadai wanawake ndio...
Nina kwama kuwa na mpenz sababu ya marafik zangu nikiwa nae tu habar zangu zote chochote nachofanya lazima mpenz afikishiwe sasa na dogo kilichofanya nikaacha na mpenz wangu nampenda sana hata akisema arudi Leo mlango uko waz bt sometimes inaniwia vigumu kuanzisha mahusiano mapya kuhofia huyo...
Siyo kwenye daladala tu kwenye mjumuiko wa watu, kuna baadhi ya wanaume ni wavivu aisee na so zamakwapani tu hata kule ikulu black house nako kunatakiwa usafi tufyeke tukifyeka hata harufu za huko zinapungua
Usafi wa makwapa muhimu jamani mtu unakuta kawekeza nywele miezi na miezi hata kuzifyeka hamna basi najua wengne ni hurka ya mtu unakuta hawez kukumbuka bas mpenz wake chukua jukumu la kumsaidia kunyoa muwekee na marashi mazuuuri ndio maana wanasema kumtunza mwenzio ni jukumu lako tuepushe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.