Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Shrikisha ubongo weweWadada ndio huwa mna makwapa meusi kama uchafu wa vocha...halafu mbaya zaidi mnavaa vile vikata mikono
Shrikisha ubongo weweWadada ndio huwa mna makwapa meusi kama uchafu wa vocha...halafu mbaya zaidi mnavaa vile vikata mikono
Ndefu na zina relaxer full time nikipunguza napiga wave na full jelly!!!!
Wadada tunakumbuka usafi nyie wanaume ndoo puuuuuh! umekesha huko kwenye shughuli zako hata muda wa kujichek hakuna af na usafi iwe kwako homa ni balaaaa.....wadada, wadada wa wap...
Tena ya wanaume unakuta yamebadilika na rangi yana kutu flani hivi
maaamaaaa usinikumbusheee...yaniiiiii mhhhh
Utahamisha vyote vya kwenu na kuleta kwangu,oohoooooNjoo uninyoe bac namm nickie raha maana sijawahi kunyolewa b4
Utahamisha vyote vya kwenu na kuleta kwangu,oohooooo
Ni sexy vibaya mno.halafu mabinti wanakuwa wanaipenda ile harufu natural ya kikwapa. Yani wanachanganyikiwa nayo mabinti
Hapana acha kabisa kwapa la mdada likiwa linatema aisee ni tafrani
Mbona nishawahi kusikia eti wanaume wasiponyoa makwapa wanakuwa sio wanaume timilifu??Kuna ukweli wowote hapo? Himidini Mkoroshokigoli Eiyer watu8.....
hahahahaha naomba unifundishe jinsi ya kutengeneza hiyo style
Shrikisha ubongo wewe
Mmh wadada au wakaka? Wakaka wanatoka na singlendi za ndani kutoka pugu mpaka msasani! Na huko kwapani kumesheheni 'matunzo' ya miezi sita, tena yana rangi tofauti na ya asili! Sijui huwa yanafugwa ya nini.....Si afadhali huyo wa uchafu wa vocha kuwa ametoa ila kwapa tu ndio limebaki jeusi kama limepishana na matunzo....
utakula mpaka uchoke wewe...fanya haraka basi unasubiri nini!!Ndio vizuri....si nakula vinono lkn
utakula mpaka uchoke wewe...fanya haraka basi unasubiri nini!!
Siyo kwenye daladala tu kwenye mjumuiko wa watu, kuna baadhi ya wanaume ni wavivu aisee na so zamakwapani tu hata kule ikulu black house nako kunatakiwa usafi tufyeke tukifyeka hata harufu za huko zinapungua