Makwapa yawe safi jamani

Makwapa yawe safi jamani

gatty

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
64
Reaction score
13
Usafi wa makwapa muhimu jamani mtu unakuta kawekeza nywele miezi na miezi hata kuzifyeka hamna basi najua wengne ni hurka ya mtu unakuta hawez kukumbuka bas mpenz wake chukua jukumu la kumsaidia kunyoa muwekee na marashi mazuuuri ndio maana wanasema kumtunza mwenzio ni jukumu lako tuepushe majasho na harufu mbaya za makwapa kama unaona uvivu cku iz kuna dawa za kupaka tu kwapani zinatoka zenyewe ni mtazamo Wang jaman
 
Wadada ndio huwa mna makwapa meusi kama uchafu wa vocha. Halafu mbaya zaidi mnavaa vile vikata mikono.
 
Hahahhaaaa jamani Tyta ah mi nilikuwa nina kikombe cha chai pembeni hamu yote imeniisha! Hebu nitoeni ushamba, mbona kuna wanaodai wanaume wakiwa na hii kitu makwapani ndio "sexy"?
 
Ni vizuri kutilia mkazo sehemu zilizojificha kwenye mwili.
Kwapa hata halivuliki kwa kweli, harufu yake kali. Yasipofanyiwa usafi na kumalizia na marashi. Watu wajipende jamani.
 
Wadada ndio huwa mna makwapa meusi kama uchafu wa vocha...halafu mbaya zaidi mnavaa vile vikata mikono

Wanaume nyie ndio balaa, sasa kama ni mweusi atakua na kwapa jeupe?weusi anaweza mtu kua hivyo tu lakin pawe pasafiiiiiiiiii jamaniii
 
Hahahaha..huu uzi umenifurahisha, jana nlikua nabishana na jamaa mmoja, tulikua gym, nkaona jamaa kumbe mfugaji, ikabididi nimuulize kwanini analea uchafu? jamaa akasema ye anapenda tu na sasa ni miezi sita hajanyoa..nlibishana nae sana na kumshaur anyoe akagoma kabisa. Nlivyoona huu uzi nkacheka sana.
 
Back
Top Bottom