Hivi huyu dem ananifikiliaje?

Hivi huyu dem ananifikiliaje?

kuna baadhi yetu wanaume tunapoteza muda na pesa zetu nyingi kwa mademu wasio na kichwa wala miguu, huyo msichana ndio wale wenye slogan ya "Chuna Buzi"
 
mhhhhhhhhh mapenzi haya hapo huna chako ndugu yangu ila mwambie aache dharau unashindwaje kuonyesha msimamo hata kama huna pesa mpe makavu live bhana

Ashakuwa rafiki yang sana naishi nae mazingira yote nikiwa na njaa naua nikimalza tunarudburafik kawaida
 
sasa wewe kama huna time nae unampa pesa za nini unatoka nae kwa nin?
huo ni udhaifu katika kupenda.

nimemchukulia km best tu nw coz tym nying anakuja oficn na mara nyingi tym za lunch zinamkuta
 
Aende Oz kudoo what? Anajipa matumaini huyo, asidhani ulaya kuna lolote mwache aende tu




Sent from Nokla using Jf app
 
ALL IN ALL NIMEGUNDUA ANAFANYA YOTE HAYA BAADA YAKUGUNDUA NIMEMZALAU NA KUMUONA WA KAWAIDA SANA:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Hayo ni Mapenzi ya kidigital whatsapp, viber, Instagram hivyo kuwa mpole kwani akija mbeya hana shida ya kutafuta mgegedeo kwani upo we punda wake akiwa mjini washuwa wapo ukizingatia huna ukwasi na pesa...wewe ni tools
 
Hayo ni Mapenzi ya kidigital whatsapp, viber, Instagram hivyo kuwa mpole kwani akija mbeya hana shida ya kutafuta mgegedeo kwani upo we punda wake akiwa mjini washuwa wapo ukizingatia huna ukwasi na pesa...wewe ni tools

Umesahau twitter mkuu
 
Mimi huwa siwashangai hawa watunga hizi hadithi, bali hupigwa na butwaa kuona wapo watu wanaoamini haya na kuchangia kwa moyo wote...

Sijui huwa wanasoma tu juu juu!!!:shocked:

yaani brother nakuambia tenagers ni shida..story nyingine kama zinatungwa..hebu angali alivyoanza ee.
"Nilipokua chuoni alikuwepo demu mmoja
niliyemuacha mwaka mmoja nyuma,"
maana yake ameshamaliza chuo...then mwishoni anasema huyo dem sasa yupo mwaka wa pili sasa...anyway sijajua chuo chake ni.miaka mingapi..ila.zaid aliposema "kwao maisha ni magumu hana hata laptop" inaonyesh kwake laptop ni kitu cha maana sanaa..then akasema dem ni classic "anadrive"
sasaa mkanganyiko wote huu kwangu naona kama ni story ya.kutunga ama ameongeza uongo ama poor presentation..hawa ndo wavulana na story zao jamani..
 
yaani brother nakuambia tenagers ni shida..story nyingine kama zinatungwa..hebu angali alivyoanza ee.
"Nilipokua chuoni alikuwepo demu mmoja
niliyemuacha mwaka mmoja nyuma,"
maana yake ameshamaliza chuo...then mwishoni anasema huyo dem sasa yupo mwaka wa pili sasa...anyway sijajua chuo chake ni.miaka mingapi..ila.zaid aliposema "kwao maisha ni magumu hana hata laptop" inaonyesh kwake laptop ni kitu cha maana sanaa..then akasema dem ni classic "anadrive"
sasaa mkanganyiko wote huu kwangu naona kama ni story ya.kutunga ama ameongeza uongo ama poor presentation..hawa ndo wavulana na story zao jamani..

Hii ni diploma tu anaongelea...... na inaelekea ni mambo ya kariakoo pale Eagle Wings
 
mwanzo alikua haongei na ma bwana zake mbele yako,sasaivi anaogea kwa raha zake na ulisha kula nae raha,sasa minadhani anakuona JOKA la kibisa.... ungemkoleza asingeongea na simu mbele yako anajua atakua anajua kama ngoma yako haikeshi......
 
Kiukweli hata yeye mwenyewe atakua anakushangaa tu. Na si ajabu akaja kuanzisha uzi hapa!
As a man ulitakiwa uoneshe kumtaka wakati alipopata nafasi na wewe. Sasa wewe ulikuwa mguu nje mguu ndani/husomeki.
Bado anakuja kukutega na watu wake akuone kama utamuonea wivu bado husomeki. Basi ndo hivyo na yeye hakuelewi wewe humuelewi mradi tu utoto utoto mwingi!
 
Sasa wewe msomi hasa shida yako ni nini hapa? Kumgegeda binti?, binti kugegedwa na lecturer wakati ukiwa chuo?, binti kukuomba pesa za matumizi?, binti kukuchunia ulipompigia simu akiwa chuo?, binti kuahidi kwenda Australia? binti kuwa wa kawaida ambaye hata laptop hana? Kwa ufupi hueleweki nini kinakukera!!
 
Nilipokua chuoni alikuwepo demu mmoja niliyemuacha mwaka mmoja nyuma,wakati nilipomjua alikua anagegedwa na Lecturer wazi kabisa kila mmoja akawa anajua, me ckujali nikajitosa kwa utelezi wa room mate wake ambae tulikua nae clax 1, nilikaza sana nikaambulia romance tu tena room kwake ila kumgegeda akabana na yote hofu kubwa alimuogopa ticha angejua angeweza hata kumdisco,tukaendelea na romance tu mpk nilipomalza na kumuacha chuo,
walipofunga alikuja Mbeya kwa dadake akanitafuta na kuja hadi geto ila nikaona noma kutake fursa kwa vile angeniona dhaifa na hata hvyo alikua kapendeza sn na kiukwel co type yangu ni classic sana, tulikaa nae takriban masaa matano ila katikat alinitega kwan ilikua ni saa saba mchana hiv akasema ikifika saa kumi naondoka, me ckujal nikajua neno la kawaida2 kimbe alitaka nimgegede, baadae akaondoka jion anantumia sms angejua ningemgegeda ila nikambwela, nilimdenda arud kesho yake ila akawa bulidi,
aliporudi siku nyingne siku mbili kabla yakufungua chuo nilimgegeda bila kukunja goti ila alipofika chuo tu kumpata kwny simu ikawa tabu, hapokei wala nini siku ukimpata anakwambia yuko disc atanipigia bt hapigi ng'ooo,, ikafika wakati nikaachana nae kabisa siku fulan akatuma sms "Hivi kama unanipenda kweli unajua naishije huku" akiwa na maana HELA,, Nilimjibu hatak mawasiliano me ntajuaje shida zake,,hatukuwSiliana tena mpk alipofunga chuo akaja tena kwa sista wake akawa anakuja nitembelea ila nikawa naogopa kumgegeda naogopa maradhi,,tukazoweana sana had anapokea simu za mabwana zake mbele yangu me cna hata wazo namtoa lunch na maeneo mengne yuko huru tu kuchat kupikea simu za mabwana zake nw ni leisure free,,, me cna tym,, amekua ananieleza anataka kwenda Australia akirudi huko anakuja angusha jumba matata na anadrive wakati ndio yuko mwaka wa pilu chuo uwezo wao kifamilia kawaida sana hawana kitu njaa tupu hata lap top hana

Hoja ni ananifikiliaje napompa uhuru wote huo kufanya lolote mbele yng tofaut na zaman alikua hapokei sim ya mtu nikiwa nae
Huu uandishi mmmmhhh
Akhasante


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kugegeda huwezi mpk uambiwe alafu unakuja kulalamika lalamika hapa...
kama ushamgegeda na huna time nae kwa nini anaendelea kukusumbua kichwa chako?? na ushajijua siyo level zake??
 
Back
Top Bottom