gatty
Member
- Feb 28, 2014
- 64
- 13
Kwa dunia ya sasa usipokumbuka Siku ya kuzaliwa mpenzi wako Siku hiyo utajuta! Unakuta mtu ananuna kabisa usipokuwa wa kwanza kum-wish happy birthday ni shidaaa, sometimes unakuta ujumbe mrefu wa malalamiko, Lakin nachojua mama na baba angu ndio watu wa kwanza kuiona cku yako ya kuzaliwa mpenz ndio anafata sasa, ndivyo tulivyozoea hata Mimi pia nilikuwa nanuna