Chige
Ona hapo #4. Tenda ilianza kutangazwa back 2016, ikaja kurudiwa November 2017, na tena 2018 lakini bado haikupatikana kampuni yenye sifa, na ikaja kutangazwa tena June 2020! Je, baada ya kutangazwa tena June 2020, alipatikana mzabuni?
Hiyo haina maana kwamba Tenda ilianza kutangwazwa...
Tafuna tangawizi mbichi, meza maji yake, tafuna kama robo kilo kwa masaa matatu. Baada ya masaa matatu kunywa chai ya tangawizi. Fanya hivyo kwa siku tatu
↑
nami pia nipeni gharama ya kujenga nyumba mpaka kwenye linta tofali nishapiga ukubwa wa nyumba ni 13mmx15mm ya vyumba 4 eneo lilipo ni tanga mjini.
Millioni 15 - 20
Sio 13mmx15mm, ni 13m by 15m
Hivi kweli tunafikiria ni rahisi kumpleka mahakamani na kumshtaki FISADI kwa kutumia sanduku la kura.
Si rahisi hata kidogo kumuondoa FISADI madarakani kwa kutumia sanduku la kura, ni dunia nzima hawa wanaondolea kwa misukosuko, au labda kwa kulazimishwa na Wazungu. Hata ningekuwa mimi...
mafilili twende tukachukue mshahara wa mwezi wa kumi na moja 2011, umetoka pale chcm lumumba, ff kanipigia simu, wewe umeandika uwongo mwingwi sana kwenye jamii forums mwezi huu, donge lako litakuwa nono
Mkuu hiyo aiwezekani, unajua zile siku 21 ni kwa ajili ya kuakikisha kama hiyo cheque ni fake au original. Na uwa wana scan hiyo cheque na kutuma kwenye hiyo account kusudi wa confirm kama cheque ni yao, jina na signature ya huyo mtu ni za kweli, pia lazima wampigie simu huyo mwenye...
SOBY, CCM KWELI NIMEHAMIN HAMNA KITU, BONGO LALA
HIVI 57% +32% + 18% (CCM + CHADEMA + CUF) = 107% bila hata hiyo +/- 5%.
SOBY UNAELEWA MAANA YA PERCENT (%).?????. PERCENT JUMLA LAZIMA IWE 100%.
AU UNAIMANISHA UMEJUMLISHA NA ZILE WA KUCHAKACHUA?? ZILIZOPO NZEGA
NA FAIZAFOXY YOUR THE SECOND...
Hivi wizara ya Madini si ndio imeshindwa kuingizia taifa mapato. Huyu jamaa ataweza kitu kweli, kama kwa muda wote hamekuwepo wizara ya madini ambayo sasa inalawama kibao. Sijui, tufikirie mara mbili (THINK TWICE)
Achana na mambo ya mkataba, mbona sisi Tanzania huwa tunajikomba kwa Amerika na mataifa ya Ulaya. Kuna shida gani huyu balozi akipandisha bedera ya NTC. Ni sawa kabisa, kwanza huyu Gadafi alimsaidia Iddi Hamini kwenye vita vya Uganda kuuwa watanzania wengi. Raisi ametawala 42yrs halafu mnaona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.