Nina madonda ya koo msaada plz

Ivan mapalala

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
285
103
Ndugu zangu nisiwachoshe kama nivyo eleza hapo juu ninasumbuliwa na madonda ya koo na husababishwa na nini na tiba take ikoje nashindwa kula
 
Kwangu mimi huwa tangawizi inanisaidia sana.

Matumizi.
-Unaweza kutafuna
-Kupikia kwenye chai

Ila mimi napendelea zaidi kutafuna maana inaponesha mapema
 
Ndugu zangu nisiwachoshe kama nivyo eleza hapo juu ninasumbuliwa na madonda ya koo na husababishwa na nini na tiba take ikoje nashindwa kula
Tafuna tangawizi mbichi, meza maji yake, tafuna kama robo kilo kwa masaa matatu. Baada ya masaa matatu kunywa chai ya tangawizi. Fanya hivyo kwa siku tatu
 
mkuu nenda kituo cha afya mweleze muuguzi akikupa dawa chukua dozi nzima hakikisha unaimaliza sambamba na panado au action maana usipoimaliza inaweza kukurudia
 
Kama ni tonses penv inasaidia ila kama ni maambukizi mengine nenda hospital upate tiba kamili
 
Ndugu zangu nisiwachoshe kama nivyo eleza hapo juu ninasumbuliwa na madonda ya koo na husababishwa na nini na tiba take ikoje nashindwa kula
Sababu ni nyingi mf.adverse effects za baadhi ya dawa, kama ulipata homa,maabukizi ya bacteria, kula chakula cha moto etc.Tafuta Listerine mouth wash au hydrogen peroxide 3% mouth wash au medi oral solution. Nenda hospital wakuuangalia kwanza waweze kujua sababu hasa ni nini?
 
Ndugu zangu nisiwachoshe kama nivyo eleza hapo juu ninasumbuliwa na madonda ya koo na husababishwa na nini na tiba take ikoje nashindwa kula
Dawa uliyo pewa ikiwa haija kusaidia nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona haraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's
 
Huna uwezo wa kumtibu mtu ww acha maneno
 
Kama in ugonjwa Wa kawaida at enda hsptl ila kama ulikua unapenda zama chumvin mmmmhh labda utafte mhogo ukusafishe at
 
Back
Top Bottom