Balozi wa Libya Tanzania akaidi kushusha bendera ya NTC! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi wa Libya Tanzania akaidi kushusha bendera ya NTC!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIGENE, Aug 30, 2011.

 1. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,066
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  1 of 1


  [​IMG]
  Libyan rebel leader and senior member of Libya's National Transitional Council, Mahmoud Jibril.


  Sudan has officially recognized Libyan National Transitional Council (NTC) as the legal representative for the Libyan people, the local Al-Ray Al A'm daily reported Wednesday.
  [​IMG]
  The statement congratulated the Libyan oppositions on constituting an advanced step that is beyond recognition, Al-Obaid Ahmed Murawih, spokesman of Sudanese Ministry of Foreign Affairs, was quoted as saying.

  "Sudan is working to enter into practical relations with the Libyan National Transitional Council," he added.

  Sudan's Ministry of Foreign Affairs issued a statement on Monday, reiterating its support for the Libyan people and their revolutionary leadership to surpass the critical phase in Libya's history.

  [​IMG]
  National Transitional Council chairman Mustafa Abdul-Jalil, center, is seen prior to a press conference in the rebel-held town of Benghazi, Libya, Tuesday, Aug. 9, 2011. The rebels' National Transitional Council dissolved the committee, which serves as a sort of government cabinet, after determining that "administrative mistakes" were made surrounding last month's slaying of Abdel-Fattah Younis, said national council member Fathi Turbel. Photo: Alexandre Meneghini / AP


  Read more: http://www.seattlepi.com/news/article/Gadhafi-son-reported-killed-appears-on-Libyan-TV-1796455.php#ixzz1WYHxgjSH


  Habari zilizojiri jioni ya leo toka BBC zinasema pamoja na kukutana na Waziri wa mambo ya nchi za nje B Membe jana nakupokea rasmi msimamo wa serikali kuhusiana na sakata hilo.

  Bado ameendelea kupeperusha bendera hiyo mpya.

  Wakati huohuo serikali ya Zimbambwe imemtimua balozi wa Libya nchini mwao baada ya kukaidi na kupeperusha bendera ya waasi wa Baraza la mpito NTC.

  Je Tanzania itadhubutu kufanya ya Mugabe! Nawasilisha.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sina hakika kama huyu balozi kweli ni mwakilishi wa kidiplomasia wa wale anaowawakilisha maana alipaswa kujua kwamba bendera si kipande tu cha nguo ambacho unaweza kukibadilisha kama leso. Hata hivyo uamuzi wa kumtimua hautakiwi kuzingatia kilichofanyika Zimbabwe na wala isionekane kutochukua uamuzi huo wa Mugabe ni kukosa kujiamini au kushindwa katika majukumu ya Serikali.
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Sasa wakuu kama Ghadafi amepinduliwa na waasi ndio wanaongoza nchi na ndio watakao finance huu ubalozi sasa apandishe bendera ipi?
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kila mtu ana haki ya kusikilizwa kwanza kwa kile anachokiamini
   
 5. W

  We know next JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani Membe naye awe anafikilia na kwenda na wakati. Hivi huyu balozi wa Libya anaona kabisa kuwa Serikali iliyomuweka madarakani haipo tena, na wameshika watu wengine na wanatoa maelekezo, sasa yeye akipinga unategemea yatakayomfika ni yapi? Automatically, ni lazima abadilike ili awe salama. Aangalieni mfano mdogo tu tuliousikia siku si nyingi zilizopita wa "Kujivua Gamba".

  Watu wanaotakiwa kuvuliwa Gamba wengine wanaogopwa hata kuguswa kwasababu moja kubwa, kwamba wakiguswa tu; basi Serikali yote itakuwa imekumbwa na kashfa kwa jinsi hao magamba wanavyoweza kuiweka hadharani. Tusimlaumu Balozi wa Libya, hana ujanja zaid ya kufuata utawala mpya.
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Suala linalojadiliwa hapa ni kubadilisha alama za nchi bila kufuata matakwa ya Mkataba wa Vienna ambao ndiyo msahafu wa masuala ya kidiplomasia na mahusiano kati ya balozi na host nations. Taratibu zinapswa kuzingatiwa. Afterall, hao waasi bado ni waasi na bado hawajatambuliwa rasmi.
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Natoa changamoto kwamba wewe ndiyo uwe unafikiria kwanza maana hujui kwamba taratibu za uendeshaji wa balozi unaongozwa na kanuni na haiwezekani mtu antundika tu kipande cha kitambaa bila host nation kupewa taarifa ya mabadiliko kwa kufuata taratibu za kidiplomasia. Alichokataa Membe siyo uamuzi wa kubadilisha bali ni utaratibu wa kubadlisha bila kufuata matakwa ya sheria na desturi za kidiplomasia.
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  mataifa makubwa 39 yamewatambua waasi je tz ni moja kati ya nchi kubwa?tunangoja nini kuwatambua?membe si aseme ni shinikizo la ustadh jk kutotaka kuwatambua waasi?
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Balozi wa Libya ana haki ya kubadilisha bendera na Tanzania hain haki hata kidogo kuingilia. Sana sana wanatakiwa kutoa taarifa kwa Tanzania kuwa kwa sasa bendera ni tofauti. Hii bendera wanayotumia Libya kwa sasa ndiyo ilikuwepo kabla huyu Gadaffi hajapindua na kuleta bendera yake ya kijani.

  Sasa, the people of Libya are reclaiming what they belive is theirs. Hivi Membe anataka kusema kuwa Libya inapata order toka Tanzania? Huu ujasiri wa kumuita Balozi wa Libya ulikuwa wapi wakati wa mgomo wa mafuta? Priority ya viongozi wetu ni ipi?
   
 10. g

  gasper2 Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Achana na mambo ya mkataba, mbona sisi Tanzania huwa tunajikomba kwa Amerika na mataifa ya Ulaya. Kuna shida gani huyu balozi akipandisha bedera ya NTC. Ni sawa kabisa, kwanza huyu Gadafi alimsaidia Iddi Hamini kwenye vita vya Uganda kuuwa watanzania wengi. Raisi ametawala 42yrs halafu mnaona ni sawa, na anaanda Mwanae awe rahisi mnaona ni sawa. Wakati anasema I will have no mercy kwa wnanchi wake mliona ni sawa?? Tuwache ushabiki wa kipumbavu
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Oh yes ... UN wanawatambua kwahiyo hawawezi kuweka bendera ya Green (Ghadaffi) any longer

  It is not Tanzania to tell them what to do; Ubalozi wao ni kama nchi so they do have the right

  Sisi bado tunawaza pesa za Ghadaffi... OIL Money is EVIL has corrupted our beloved Leaders
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Cut Mbopo and Membe some slack

  Hakuna critic wa Membe na Foreign anayeongoza humu JF kama mimi na kwenye hili niko naye through and through na kama kuna mtu anazo arguments why we should recognise these rebels then aje nazo lakini pia aje na citations za ku back up arguments zake

  Mbopo hii niachie. wewe kaa pembeni hawa nitawajibu vilivyo

  Kinachomlinda Mheshimiwa Membe ni hiki hapa


  1963 Vienna convention on consular relations


  Article 29...

  Soma page PAGE 12 & 13


  Use of national flag and coat-of-arms


  1.The sending State shall have the right to the use of its national flag and coat-of-arms in the receiving State in accordance with the provisions of this article.

  2.The national flag of the sending State may be flown and its coat-of-arms displayed on the building occupied by the consular post and at the entrance door thereof, on the residence of the head of the consular post and on his means of transport when used on official business.

  3. In the exercise of the right accorded by this article regard shall be had to the laws, regulations and usages of the receiving State.

  ushahidi wangu huu hapa attachment:

   
 13. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nadhani tanzania tuna mahusiano ya kidiplomasia na libya ambapo libya inaundwa na wananchi wake kama vile tanzania ilivyo.. na Si mahusiano binafsi na mohamad Ghadafi!!

  So the Libyani Ambassador he is very right and he have right to do it.

  Wana libya wamemkataa ghadafi nyie mnamtaka wa nini?? Subirini akianzisha nchi yake inayoitwa ghadafi country mtapandisha bendera yake.
  Viva libyan people mmedhubutu na mmeweza...si watanzania wanajivunia amani huku wakihujumiwa na kulala gizani ....50 years of independence!!! what is independence if there is no dignity!!!
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,261
  Likes Received: 21,973
  Trophy Points: 280
  Hatuna serikali imara, serikali yetu goigoi, legelege na mdebwedo pia
   
 15. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mbona unamnyima haki yake ya msingi Mbopo ya kuchangia thread, kwann akae pembeni? wewe leta zako hoja nae aendelee kuleta zake kadiri anavofahamu na wengineo!
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  nonesense

  lete legal evidence kusupport argument yako
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyu balozi kashaipima serikali kaona ulegelege wake na kaona haiwezi kumfanya chochote kwani ni serikali ya maneno mengi bila vitendo
   
 18. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  'mhuni' wa Benghazi anapoishinda jamhuri na tamko la AU

  wasubiri muafaka wa kitaifa wa wana Libya

  kwa sasa wasipeperushe yoyote ikiwezekana
   
 19. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  What kind of legal evidence do you want? i am not here for political purpose like you!

  Je unaelewa maana ya mahusiano ya kidiplomasia?...Suppose membe angemuuliza balozi hii bendera ya utawala wa ghadafi si bendera ya libyani people kwa sasa je balozi angejibu nini??

  Balozi wa nchi haletwi kumwakilisha Rais kwa sababu amemteua yeye kwa ajili ya ujomba wala ushemeji!!!....ila huletwa kuwawakilisha wananchi wa nchi husika....so whatch-out!!
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  i like it when you say nonsense, halafu unaishia hapo.
  Kwanini unataka kuhamisha mjadala kwenye legal bases na kukataa opinion za watu kwenye jambo hili?
   
Loading...