kwa kweli ngeleja anatufanya sie wananchi ni watoto wadogo,tena tusiojua kufatilia mambo,naona hawajaamini kuwa tanzania ya leo sio ile waliyozoea kufisadi.marekebisho ya bajeti ya upinzani yaliwasilishwa.hata kama isingekuwa hivyo,kuna sehemu unaonesha comparison ya bajeti hizo mbili na wameorodhesha kila kitu,ila sio tatizo lake ila ni mwisho wa uwezo wa kuhoji mambo,na wale wapuuzi wenzie wanapiga makofi,yaani wabunge wetu wengi ni wabinafsi sana.wanashindwa hata kufananisha raslimali za nchi hii na maendeleo tuliyonayo.apart from that,basi waangalie gape kati ya wenyenazo na wasionazo.nchi hii inamatabaka kwa kila kila idara.mie naona wabunge wetu wengi wanaishi mijini au nje ya nchi,hivyo hawajui lolote kuhusu matatizo yetu.