Barclays bank ni noma, msaada wa sheria haraka

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,440
Kuna ndugu yangu ana-bank na barclays bank,yeye ni mfanyabiashara wa kawaida tu.anauza bidhaa zake za kutoka china, hivi majuzi walikuja wateja kutoka comoro na wakahitaji bidhaa kwake lakini hawa wateja walikuwa hawana cash walikuwa na cheque ya bank yao ya comoro.

Huyu ndugu yangu akawaambia hawezi kupokea cheque labda mpaka awasiliane na watu wa bank ili wampe utaratibu. cheque ilikuwa ni ya ml 30, wale wacomoro wakamwambia hakuna shaka yeye achukue cheque na aende nayo bank. yule jamaa akachukua cheque na kwenda nayo bank ambayo ni barclays, akakutana na maofisa wa bank akawapa ile cheque

Wale watu wa bank wakamwambia kwa kawaida cheque international huwa inachukua muda wa siku 21 kumature. jamaa akaweka cheque bank ili asubiri siku 21, akarudi kwa wacomoro akawaambia kuwa hawatoweza kuchukua bidhaa zake mpaka siku 21 ziishe na awe ameona pesa zimeingia ktk account yake.

wale wacomoro wakakubali kusubiri, baada ya siku 21, jamaa alipocheki ktk account yake akakuta tayari pesa imeingia, akawapigia simu wale wacomoro waje wachukue bidhaa zao, wakachukua wakaondoka zao

baada ya wiki 2 barclays wakampigia huyu ndugu yangu simu, ati arudishe zile pesa na ati ile cheque ilikuwa fake, huyu jamaa yangu akaenda bank, akawauliza yeye ana makosa gani? barclays wakamwambia itabidi awatafute wale wacomoro wamrudishie bidhaa,hapo ndipo nilipochoka na bank za kibongo, hadi sasa hivi ninavyoandika hapa jamaa bado pesa zake zimeshikiwa na bank,

ANAOMBA MSAADA WA KISHERIA WANA JF
 
Hahaha,akipata mwanasheria mzuri barclays hawana chao,aandae hizi grounds;
fiduciary relationship,negligence on part of the bank
 
Hahaha,akipata mwanasheria mzuri barclays hawana chao,aandae hizi grounds;
fiduciary relationship,negligence on part of the bank.Precedent kibao
 
barclays wana mtindo wa kutoa hela kwenye account za watu! if there is a place nt to bank,is this one! wanafukuza wafanyakazi wezi kila siku! muambie awatolee povu kwanza,maybe hahitaji hata lawyer.ukistuka ukawasha moto huwa wanarudisha majeshi.na ahamishe accounts zake.
 
Hahaha,akipata mwanasheria mzuri barclays hawana chao,aandae hizi grounds;
fiduciary relationship,negligence on part of the bank.Precedent kibao

Mbaya zaidi wamemrostisha ndugu yangu couse sasa ni mwezi wa nane pesa yake imezuiliwa bank, pls kama unamjua mwanasheria mwenye akili timamu naomba mnielekeze,lakini kwa mistake hii ya bank kama ingekuwa huku kwetu jamaa angelipwa fidia kubwa
 
hata kama bank ipo kwao,unapoandika plaint unaomba fidia ya gharama za usumbufu,hasara uliyoipata,unaomba fidia hata ya million 200
 
haya mauza uza yamefanyika hapo Dar ndugu siyo huku kwa wenyewe, huku hakuwezi kutokea blanda kama hii kamwe
 
Kama mambo haya yangefanyika ulaya, muda mrefu ungekuta mawakili wameshanunua hii kesi na walishamlipa jamaa wao wanapambana na bank na hizo fidia, ila mawakili wa Dar wengi wamekalia ulevi chakari
 
...ila mawakili wa Dar wengi wamekalia ulevi chakari
na sitashangaa ikiwa Barclay's walisha wasainisha mkataba wateja wote wa kibongo kwamba ikitokea bifu yeyote kesi baraza la usuluhishi Uingerezaaaa! Lawyer wake wa kibongo stress zinaanza kwenye kutafuta nauli, visa, na mahala pa kufikia, akiingia kwenye kesi anaanza kushangaa shangaa wenzake wanatema cheche kwa kwenda mbele, by the time anatasfiri kichwani from english to kiswahili to kidengeleko then from kidengeleko to swahili to English arudishe majibu... nyundo la jaji buuum! Mshikaji anahukumiwa kuwalipa Barclay's!
 
Barclays wahuni...walikuwa na siku 21 za kujiridhisha kama cheque ni halali ama fake kabla ya kuweka pesa kwenye account, walikuwa wanafanya nini ktk muda huo wote??
Komaa nao tena uvae miwani ya mbao lazima watapoa wenyewe!
 
mimi nashangaa na sijui ni lini 1+1 itakuwa 2, africa maana kila kitu ni vagalant
 
Hii benki feki..........ndio maana watu walikopa wakaingia mitini....wao wanakuja na mkwara wa kutangaza majina magazetini....bila kujua madhara ya kufanya hivyo
 
I only Bank with FNB and i never have problems with them, Hizo bank nilishafunga Account zangu zote nimefungua FNB wala hakuna longolongo na wala sihitaji hizo bank fake za Barclays. Kwa sasa nimelifumania jimbo la FNB bank nyingine zitanisikia wala sizihitaji.
 
Kama mambo haya yangefanyika ulaya, muda mrefu ungekuta mawakili wameshanunua hii kesi na walishamlipa jamaa wao wanapambana na bank na hizo fidia, ila mawakili wa Dar wengi wamekalia ulevi chakari

Mkuu hiyo aiwezekani, unajua zile siku 21 ni kwa ajili ya kuakikisha kama hiyo cheque ni fake au original. Na uwa wana scan hiyo cheque na kutuma kwenye hiyo account kusudi wa confirm kama cheque ni yao, jina na signature ya huyo mtu ni za kweli, pia lazima wampigie simu huyo mwenye cheque/account kusudi aconfirm. Especially cheque za nje
 
Kuna ndugu yangu ana-bank na barclays bank,yeye ni mfanyabiashara wa kawaida tu.anauza bidhaa zake za kutoka china, hivi majuzi walikuja wateja kutoka comoro na wakahitaji bidhaa kwake lakini hawa wateja walikuwa hawana cash walikuwa na cheque ya bank yao ya comoro.

Huyu ndugu yangu akawaambia hawezi kupokea cheque labda mpaka awasiliane na watu wa bank ili wampe utaratibu. cheque ilikuwa ni ya ml 30, wale wacomoro wakamwambia hakuna shaka yeye achukue cheque na aende nayo bank. yule jamaa akachukua cheque na kwenda nayo bank ambayo ni barclays, akakutana na maofisa wa bank akawapa ile cheque

Wale watu wa bank wakamwambia kwa kawaida cheque international huwa inachukua muda wa siku 21 kumature. jamaa akaweka cheque bank ili asubiri siku 21, akarudi kwa wacomoro akawaambia kuwa hawatoweza kuchukua bidhaa zake mpaka siku 21 ziishe na awe ameona pesa zimeingia ktk account yake.

wale wacomoro wakakubali kusubiri, baada ya siku 21, jamaa alipocheki ktk account yake akakuta tayari pesa imeingia, akawapigia simu wale wacomoro waje wachukue bidhaa zao, wakachukua wakaondoka zao

baada ya wiki 2 barclays wakampigia huyu ndugu yangu simu, ati arudishe zile pesa na ati ile cheque ilikuwa fake, huyu jamaa yangu akaenda bank, akawauliza yeye ana makosa gani? barclays wakamwambia itabidi awatafute wale wacomoro wamrudishie bidhaa,hapo ndipo nilipochoka na bank za kibongo, hadi sasa hivi ninavyoandika hapa jamaa bado pesa zake zimeshikiwa na bank,

ANAOMBA MSAADA WA KISHERIA WANA JF

mmmh! hapa kuna kitu kinamiss, imekuaje kuja kuwa fake wakati wameshakaa nayo siku 21.
 
mmmh! hapa kuna kitu kinamiss, imekuaje kuja kuwa fake wakati wameshakaa nayo siku 21.[/QUOTE
Mkuu ndiyo maana nahitaji msaada wa kisheri ili nimpe huyo ndugu yangu maelekezo namna ya kupata pesa yake na fidia ya miezi nane, kwa maana mpaka sasa barclays wameziua ml 33 zake na ni mwezi wa nane sasa
 
Ni hivi kwanza kitendo cha kupokea chq.na kuigonga muhuri ni kwamba umeshajiridhisha kuwa ni ya halali na kwa sababu ni ya nje ya nchi unatumia hizo siku 21 kujiridhisha zaidi kabla ya kuweka pesa kwenye account ya mteja sasa hapo inaonekana wameshachemka na ukipata wakili mzuri hapo kuna hela nzuri sana ya fidia ya zaidi ya pesa yako.

NB: For the record benki nyingi huwa hazishindi kesi maana ikishinda kesi hailipwi hela yoyote na bima hivyo wanaachia mara kibao magoli ya kutosha wewe kaza tafuta lawyer smart utaona raha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom