MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
kibamba kaongea hayo kwa maslahi ya nchi
Deus ninae mjua awezi ongea ayo na jana tu niliku nae acha uongo magamba kazini
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.
Details angalia Channel Ten muda huu
Juu ya mchakato wa katiba, watanzania ndo wapinzani, unafurahia watanzania kuporwa mamamlaka???Tatizo CCM inakaba kila kona..wapinzani walikuja na sera yao ya katiba mpya, CCM ikaibeba juu kwa juu na kuifanyia kazi..sasa hivi wapinzani wameishiwa, hawana tena sera! Wanajaribu tu kuvuruga huu mchakato!
hotuba ya jana imemkuna deus kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata katiba mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa kupata katiba mpya
3. Maandamano si njia muafaka kufikia katiba mpya.
Details angalia channel ten muda huu
Kibamba ni mtu makini sana kwa hyo usitake kutuaminisha uongo ili kumharibia bwana Deus hawezi jiropokea haya uyasemayo
Deus umenena kama wengi walimsikiliza Jk ana nia njema na taifa hili lakini baadhi yetu tunataka kuingiza siasa kwenye suala la wote
Ondoa mawazo mgando, tuweke mbele maslahi ya TAIFA, nenda Channel Ten uombe mkanda wa kipindi, ndipo utapata uhalisia wa alichotamka Kibamba. YOTE KWA YOTE, MSWADA UMEPITA, SASA TUJIPANGE KUPELEKA MAONI YETU KATIKA KAMATI YA KUKUSANYA MAONI.
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.
Details angalia Channel Ten muda huu
Vipi ubwabwa uliisha jana?nlikuona unamendea pale sabasabaTatizo CCM inakaba kila kona..wapinzani walikuja na sera yao ya katiba mpya, CCM ikaibeba juu kwa juu na kuifanyia kazi..sasa hivi wapinzani wameishiwa, hawana tena sera! Wanajaribu tu kuvuruga huu mchakato!