Recent content by gambalanyoka

  1. G

    Tiba ya Gastroesophageal Reflux Disease (GERD)

    Mimi nahisi ninao huu ugonjwa kwani nahisi kitu kimenikaa hapa kooni,pia sauti haitoki vyema,sasa nauliza je kuna uhusiano wowote na kubleed wakati wa kwenda haja kubwa,maana mie nableed fresh blood wakati naenda haja kubwa
  2. G

    Nani aliagiza dr. Ulimboka ateswe?

    Jamani kuna tetesi mimi nazisikia kuwa DK Ulimboka amepigwa kwa maagizo ya wale wafanyabiashara waliokuwa wana tenda na wizara ya afya wakati wa Nyoni,tenda hizo zote hiyo zilifutwa na wadai yote amesababisha Ulimboka,nilisikia maneno haya yakiongewa kwenye baa moja dar,sasa sijui kama ni kweli...
  3. G

    contacts za YONA MARO wa wanabidii

    Kama kuna mtu ana kontakti za huyu jamaa yaani simu au email naomba anipe nina shida nae
  4. G

    Naishi na virusi vya ukimwi natafuta kama mimi

    Dada Mungu atakuongoza upate mtu wa uhakika kama ulivyoomba,hujazeeka na pia unahitaji unyumba kama mwanamke yoyote mwingine anavyohitaji,sasa usisikilize ya watu.Hata mie ntasaidia kukutafutia nikuunganishe nae,mengine mtamalizana wenyewe
  5. G

    ukitolewa prostate unaweza kuzaa,is it possible?

    Tibaijuka nashindwa kukuelewa,mimi nimeuliza kuwa je mtu unapotolewa prostate unaweza tena kuzaa?Nimeuliza hivyo kwakuwa nina mpenzi ambae anadai kuwa nimezaa nae watoto.Dada huyo ni mpenzi wangu wa muda mrefu sio mke wangu na wala hahitaji kunidanganya kwani tunasaidiana sana na kuelewana sana...
  6. G

    simu ya january makamba

    Jamani nina shida na january makamba kama kuna mtu ana contacts zake-simu au email basi anipe.Natanguliza shukrani
  7. G

    TB Joshu atabiri tena

    Jamani mimi nilimskia kwa maskio yangu alichosema ni kwamba chelsea wanahitaji maombi basi si zaidi ya hapo,mengine yote yanayosemwa ni uongo mnamsingizia kabisa
  8. G

    ukitolewa prostate unaweza kuzaa,is it possible?

    Jamani mimi nilifanyiwa TURP kuondolewa prostate miaka zaidi ya 5 iliyopita na toka wakati huo sijawahi kuona shahawa zinatoka,sasa nina mpenzi wangu nje ya ndoa,amejifungua watoto 2 na ameniambia kuwa ni wangu maana ni machotara nami pia chotara,je inawezekana?
  9. G

    Jamani gauti inanitesa

    Jamani nisaidieni gauti inanitesa sana,hivi ninywe pombe gani na nyama gani ili isinisumbue maana kila nikinywa bia*u pombe kali navi$ba miguu na nikono.Wajuzi hebu nipeni utaalamu
  10. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Hivi huyu Helen Kijo na Bisimba na Ananilea Nkya hawaandai maandamano kumtetea mwanamke mwenzao Lulu?
  11. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Kanumba kama biiadamu ana mapungufu yake kama tulivyosisi waanadamu wote,lakini mapungufu yetu hayafanyi kazi zetu kuwa mbaya au umaarufu wetu kwenye jamii kuwa wa kubuni.Historia ya duniani imejaa habari zinazohusu viongozi wetu wengi wanaotoka kwenye nyanja mbalimbali wamefanya mambo makubwa...
  12. G

    Mwenyekiti wa CCM Morogoro ampiga askari Msamvu kisa kasimamishwa na traffic

    Jamani tuchangie hoja kwa kutumia intelligence badala ya emotions
  13. G

    Msikilize Lusinde akiuza sera za CHAMA CHA MAPINDUZI

    Ama hakika nami nimecheka ila mbaya
Back
Top Bottom