Naishi na virusi vya ukimwi natafuta kama mimi

Pole sana dada but mi mbona naona miaka yako tayari imesha tupa mkono miaka 40 ni mingi sana so haina haja we chamsingi tu endelea kujitunza na kufanya mambo mengine coz ukisema hapo tena muanze kuwekana ndan kwa umri huo mmh niku kupandishiana presha haina haja we tulia tu dada na pia hongera kwa kuwa mkweli .
 
Dada Mungu atakuongoza upate mtu wa uhakika kama ulivyoomba,hujazeeka na pia unahitaji unyumba kama mwanamke yoyote mwingine anavyohitaji,sasa usisikilize ya watu.Hata mie ntasaidia kukutafutia nikuunganishe nae,mengine mtamalizana wenyewe
 
Amalia nakupongeza sana kwa kuwa jasri na muwaz sana. binafsi nimependezwa sana na hili lol..............

Mungu akutane na aja ya moyo wako ma dia sisy
 
Last edited by a moderator:
ana jf katika thead ambazo watu wamekuwa wapole hii nayo imo. But mtoa mada ametumia maneno yenye hisia sana kiasi kwamba unapochangia vidole vinatetemeka. Mungu amjalie jamani dada wa watu
 
Back
Top Bottom