ukitolewa prostate unaweza kuzaa,is it possible? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukitolewa prostate unaweza kuzaa,is it possible?

Discussion in 'JF Doctor' started by gambalanyoka, May 7, 2012.

 1. g

  gambalanyoka Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi nilifanyiwa TURP kuondolewa prostate miaka zaidi ya 5 iliyopita na toka wakati huo sijawahi kuona shahawa zinatoka,sasa nina mpenzi wangu nje ya ndoa,amejifungua watoto 2 na ameniambia kuwa ni wangu maana ni machotara nami pia chotara,je inawezekana?
   
 2. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  usitudanganye, wewe chotara watoto wa mama mwafirika wawe chotara. hiyo si biology bali wanaweza kuwa na rangi ya weupe kiasi fulani. kama umetolewa prostate inaamana umri wako umekwenda je, wataka zaa wajukuu?
  kazi ya prostate ni kuotoa maji ya utelezi yanayowezesha mbegu za kiume kusafiri kiurahisi, laikini kutoka katika kende zinatoka kawaida, swali ni je zinafika zinakotakiwa? labda zilifikia hivyo mkeo kapata mimba, au kuna mweupe kamuwahi mkeo katoa tena chotara. hujiamini kapime DNA. kitanda hakizai haramu. chukua watoto kwa manufaa yako baadae.
   
 3. g

  gambalanyoka Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tibaijuka nashindwa kukuelewa,mimi nimeuliza kuwa je mtu unapotolewa prostate unaweza tena kuzaa?Nimeuliza hivyo kwakuwa nina mpenzi ambae anadai kuwa nimezaa nae watoto.Dada huyo ni mpenzi wangu wa muda mrefu sio mke wangu na wala hahitaji kunidanganya kwani tunasaidiana sana na kuelewana sana tu,sasa unaponiuliza kama nimetoa prostate umri umeenda sana,kwamba nataka kuzaa wajukuu,huo sio msaada bali kejeli,na kama kweli wewe ni daktari basi wagonjwa wako wana kazi.Hatahivyo mimi ni mstaarabu nakusamehe
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  TURP haiondoi prostate yote na haiondoi uwezo wa kuzalisha so inawezekana.

   
 5. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  unaweza zaa. samahani!! ni katika kautani kuwepo pia!!
   
Loading...