Recent content by Galapagos

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kiti cha Ubunge Rorya - Wananchi Jimbo la Rorya muwe makini

    Tupe chanzo cha taarifa ya tuhuma dhidi ya Owawa! Si unakurupuka kama aliyefumaniwa Mamboleo
  2. G

    JamiiForums Tanzania Werema: Hatuna waandishi wa habari za uchunguzi Tanzania bali wahemea kodi za pango

    Hizo ni jeuri ya bingo la escrow, lakn ajue mwisho wao u karibu mno!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ban Ki-Moon sympathises with Tibaijuka

    You better step down mama Tibaijuka, wapiga kura wako wanazidi kukosa imani nawe, UN kule hakuna kupiga deal kama huku kwetu uswahilini.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Acha tusubiri hiyo 2015 tutasikia mengi!!!
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

    Nadhani hatma yako haitakuwa nzuri ktk hili, machozi ya bint Sayuni hayatapita bure, heri ungefanya toba kuliko huu utumbo uliopost humu. Shame on you.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Pesa ni ya Shetani au ya Mungu?

    Kweli we jembe, nakupa bonge la LIKE, bahati mbaya natumia cm
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe "MSAZENGO" Mazengo and Msalato Secondary.

    Dah, hii ni kumbu kumbu nzuri sana mkuu, me nimeingia hapo Complex "96 nikakuta jamaa (Mkoba) ndo anaaga akaingia Kazimoto Msasa, RIP
  8. G

    JamiiForums Tanzania Sista avuliwa Kilemba kwa kuwa na uhusiano na padri.

    Kwa hiyo unahitaji msaada gani?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    Muulize Salva nadhani atakuwa na majibu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wakurya na kiswahili

    We mama bhoke hepu rara chini nikurenge
  11. G

    JamiiForums Tanzania EATV kwanini mnawaonesha Mashoga kwenye kituo chenu?

    Wekeni picha basi
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hupendelea kushikwa wapi ili asisimke kimapenzi

    Zama chumvini hafu ulete ripoti
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni halali kumfanyia mumeo haya mbele ya wageni?

    Acha wivu wa kike jomba
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Wazalendo na wajenga nchi washatangulia mbele za haki, sasa tumebaki na wabomoa nchi na wachumia tumbo, katika hali kama hii kweli ikitokea ugumu katika kufikia maamuzi hafu kukawa na ulazima wa kupeana takrima ili mambo yasonge kweli atakaekuwa na ujasiri wa kuachia takrima hizo? Time will tell
  15. G

    JamiiForums Tanzania Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

    Nna mashaka sana kama kweli this fela ni uzao wa one genius Dr.John Samwel Malecela, maana yake uwezo wako wa kuchanganua mambo uko very shallow sana, kuna masuala ya msingi yasiyohitaji tafsiri za kisiasa we unaleta siasa, shame on U Le Mutuz
Back
Top Bottom