Pesa ni ya Shetani au ya Mungu?

Pesa ni ya Shetani au ya Mungu?

ni mali yetu sote hasa binadamu na sio ngedere hivyo tambua kuwa ni yako na ndio maana ukiwa nazo utasikia flan anahela hawasemi fisi anaela

Ina nafasi gani mbele za Mungu nabele za Shetani??
 
Nchi na vyoote ni mali ya MUNGU dunia na wote wakaao ndani yake
 
mmmmh!!ngumu ila mi naona pesa
inatengenezwa na binadamu kwa uwezo wa mungu
thn shetani anamrubuni binadamu afanye mambo maovu kwa
kutumia hizo pesa!!
 
Nchi na vyoote ni mali ya MUNGU dunia na wote wakaao ndani yake

Na Yesu hapo alikuwa akimaanisha nini aliposema ya kaisari mpeni kaisari na ya Mungu mpeni Mungu, tena alisema huku kaishika sarafu yenye picha ya kaisari
 
Na Yesu hapo alikuwa akimaanisha nini aliposema ya kaisari mpeni kaisari na ya Mungu mpeni Mungu, tena alisema huku kaishika sarafu yenye picha ya kaisari

Ndugu binaadamu ni mgumu kuelewa mpaka apewe na mifano alitumia mfano ule ili watu waweze kumwelewa kutokana kufanya biashara sehemu ya ibada na ndio maana kuna fungu la kumi wewe fanya mambo yako yote kazi zako zote lakini usisahau kumpa Mungu Utukufu aliyekupa uhai kwa kumpa fungu hilo la kumi bila kumwibia na ndio Maana akasema mpeni kaisari yaliyo yake kaisari na mpeni Mungu yaliyo ya Mungu.
 
Kwa wakristo, refer kitabu cha Hagai 2:8 ‘Fedha ni yangu, na dhahabu ni yangu,’ asema Yehova wa majeshi. Kuhusu habari ya Yesu kuwajibu Mafarisayo na Makuhani alipoulizwa kwa habari ya fedha, ikumbukwe kuwa hapo walikuwa wakimtega Yesu kama ni halali kulipa kodi ama la, na Yesu akajibu kuwa ya Kaisari (kodi) mpe Kaisari na ya Mungu (dhabihu-sadaka) apewe Mungu.

Swali ni kuwa Mungu anahitaji fedha za nini?
 
Inategemea na matumizi...Mungu ana mahitaji yake na shetani as well!

Pesa ni mali ya mungu sema binadamu wamekuwa wanaitumia pesa kufanya vya shetani. Na kwa sababu hiyo binadamu amekuwa akifanya matendo mabaya sana kwa sababu ya pesa na amekuwa akitumia mbinu za kishetani kuipata pesa.
 
Na Yesu hapo alikuwa akimaanisha nini aliposema ya kaisari mpeni kaisari na ya Mungu mpeni Mungu, tena alisema huku kaishika sarafu yenye picha ya kaisari

Lakini na huyo kaisari pia ni mali ya mungu therefore ya kaisari yote ni ya mungu.
Yesu pale aliwajibu kibusara baada ya kujua juwa walikuwa wanamtega ili aseme avunje sheria za wayahudi.
Yesu jembe letu akajua nia mioyoni nwao akawajibu hivyo.
Biblia ina mambo mengi kila kitu kina maana kwa wakati na matukio fulani.
Tafsiri ndio zinazoleta shida na utofauti
 
Kwanza pesa ya mzee Sabodo ya visima imeenda wapi? Kabla ya kujadili ni fedha za Mungu au za Shetani.
 
Kwanza pesa ya mzee Sabodo ya visima imeenda wapi? Kabla ya kujadili ni fedha za Mungu au za Shetani.

Wewe acha kutapika hapa watu tunakula toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo umjeukie mwenzio uone kibanzi chake wauwaji wakubwa nyie siku ya kiama hamna rangi ambayo hamtaiona mnadhulumu mayatima, wajane , watu wanafanya kazi mnawapunja jasho lao, wazee wa jumuiya ya afrika mash mmewadhulumu haki zao , wananchi wanateseka kwa ajili ya washenzi wachache yaani nyie Mungu anawatizama kwa jicho la pili.
 
Duh, wewe unaelewa ulichoandika?

Mimi nimetoka mweupe.
 
Lakini na huyo kaisari pia ni mali ya mungu therefore ya kaisari yote ni ya mungu.
Yesu pale aliwajibu kibusara baada ya kujua juwa walikuwa wanamtega ili aseme avunje sheria za wayahudi.
Yesu jembe letu akajua nia mioyoni nwao akawajibu hivyo.
Biblia ina mambo mengi kila kitu kina maana kwa wakati na matukio fulani.
Tafsiri ndio zinazoleta shida na utofauti

Kweli we jembe, nakupa bonge la LIKE, bahati mbaya natumia cm
 
Nashindwa kujua, hivi pesa ni mali ya nani?

Katika maandiko matakatifu tunasoma yakuwa Yesu alinyanyua sarafu na kuwauliza waamini wake kuwa sarafu ile ina picha ya nani? Nao wakajibu ina picha ya Kaisari, basi akawajibu kuwa. "Ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu,

Wakati huo huo tunasoma yakuwa, mali na dhahabu na vitu vyote viijazavyo dunia ni mali ya Mungu,

Hivi pesa ni mali ya nani?????

Unafahamu kuwa pesa sio mali, bali dhahabu, et al ni mali?
 
Na alichonyanyua yesu na kuwaambia waamini kuwa ya Kaisar mpeni kaisar, ilikuwa ni nini?

Pesa sio Mali. Money is a current medium of exchange in form of coins and banknotes collectively, in contrast, Money is not ASSET...
 
pesa ni ya shetani maana mtu yupo tayari kutoa uhahi wa binadamu kisa pesa.
 
Back
Top Bottom