Watu kama hawa huwa wanawashwa nn sijuwi!!
Amesoma kiswahili na history anakuja kuandika wehu WAKE! !
Isitoshe alikuwa anahonga (kama ni wakiume )au alikuwa anahongwa (Kama ni ke )
Ww acha wehu wako!!
Inategemeana unasoma facult gani,kama unasoma uwalimu tena kiswahili na history utasap vp,japo napo itategemeana unaishije na wenzako na Lecturers wako.
Muda mwingine SUP huwa haziepukiki.
ww umekaa ukaona unawashwa washwa na sup ukaona bora uandike ujinga wako huku...
Mnaharaka sana ya kwenda vyuoni si NDIO? ?
Kwa taarifa yako utaweka bando kwa kuvizia mpaka ukome!
TCU hawafanyi kazi kwa kuamrishwa na mtu !!
Isitoshe tena ww mviziaji na presha zako ndo utasubiri sana.
*****kuwa mvumilivu****
NDUGU Jerry! Usifikirie kwamba kila mchezo ni wa mpira.
kuna michezo mingine siyo ya kubwabwaja kijingakijinga kama ulivyozoea.
Hii ni Siasa hai.
kama unaomba ukuu wa Wilaya au Mkoa tafuta njia nyingine sio hiyo uliyoichagua.
INAONESHA TAYARI UMESHAKUWA NA ELEMENT ZA UPUMBAVU WA AKILI !!
waache...
Hili ZIMWI litawatauna mbaka washangae,BADO kidogo tutasikia wameanza kupigana RISASI wenyewe.....
Wamuulize mh. Nape Hana hamu na Serikali ya CCM anajikaza kisabuni tuu anaogopa kufungua mdomo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.