Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,276
- 6,585
- Thread starter
- #241
Hongera sana mkuu,waambie hawa vilaza wasome kwa bidiiSometimes umaskini unasababishwa na poverty thinking tulizokuwa nazo.
Ushauri.
Wana JF-anything is possible, is all about you.
N third year sasa Sup haijawah patkana na ni BSc.Civil Engineering.
Chuo fanya kilichokupeleka.
Daima utafanikiwa.
Wqnafunzi inabid waache ushamba wanapoingia chuo.
Taifa linawategemea...Amen