Zitto: Namkubali Rais Magufuli asilimia 100, sizitaki tena siasa za vurugu

Akiwa ujiji mjini jana mh.Zito aliyasema hayo kwa jazba kidogo, na akaweka bayana kua anawashangaa wale wanaojiita wapinzani ambao kazi yao ni kumpinga tu Rais Magufuli kwa kisingizio cha kukipinga chama cha CCM.

Zitto sasa kaamua kuonesha rangi yake halisi ni ipi, na ametuaminisha ata yale maneno yake aliyokua anayasema ya kumpinga, kumponda na kumkebei Rais Magufuli tangu mwanzoni mwa mwaka huu yalikua ni ya uongo tu na ya kijinga sasa kashalijua kosa lake? Hahahahaaha yawezekana zitto sio smart kama ambavyo watu wengi tumekua tukimzania, na yawezekana asilimia 100 chadema haikukurupuka kumfukuza.

Zitto jifunze kua na akiba ya maneno ndugu yetu.
Sasa apinge nini iwapo alichokitaka kwaajili ya wananchi wa kigoma kinaonekana,wewe na wapingaji wenzio endeleeni na misimamo yenu ya fitina
 
Mbaya zaidi leo hii kuna watu wanamtukuza Kingunge ambaye aliwatukana sana wapinzani na kusema ccm daima, na hata kuwatukana wabunge wa ccm waliojaribu kukikosoa ccm.
Akiwa ujiji mjini jana mh.Zito aliyasema hayo kwa jazba kidogo, na akaweka bayana kua anawashangaa wale wanaojiita wapinzani ambao kazi yao ni kumpinga tu Rais Magufuli kwa kisingizio cha kukipinga chama cha CCM.

Zitto sasa kaamua kuonesha rangi yake halisi ni ipi, na ametuaminisha ata yale maneno yake aliyokua anayasema ya kumpinga, kumponda na kumkebei Rais Magufuli tangu mwanzoni mwa mwaka huu yalikua ni ya uongo tu na ya kijinga sasa kashalijua kosa lake? Hahahahaaha yawezekana zitto sio smart kama ambavyo watu wengi tumekua tukimzania, na yawezekana asilimia 100 chadema haikukurupuka kumfukuza.

Zitto jifunze kua na akiba ya maneno ndugu yetu.
 
Ungekuwa na akili ungejaribu kuwashauri viongozi wa CDM wajiulize why Arusha madiwani wanapukutika?

Zitto ni mwanasiasa mwenye akili ya hali ya juu. Kwanza hataki malumbano na serikali iliyopo madarakani pili anataka kuwakilisha watu wa jimbo lake la uchaguzi kikamilifu na kuwapatia maendeleo. Zitto anatambua kuwa ukifika wakati wa siasa atafanya. Hongera Mheshimiwa Zitto Kabwe umeonyesha umekomaa kisiasa kikamilifu.
 
Teuzi bado zipo Mwamba ngoma huvutia kwake 'Tomorrow never comes. liwezekanalo leo lisingoje kesho
 
Ana wasi wasi wa zake kufukuliwa! Kumbukeni Zito alikuwa mstari wa mbele kupinga hatua ya rais kuzuia makonteina ya mchanga yasipelekwe nje! Alikuwa ni mtetezi asiyejificha wa kuhalalisha mchanga kupelekwa nje! Jiulizeni kwa nini? Alikuwa na maslahi gani? Ninaamini mkuu anamjua vizuri na HATADANGANYIKA! Kauli zake za mwanzo lazima zichunguzwe zilikuwa na motives gani nyuma yake? Napenda kumtaarifu Zito kuwa watanzania si wasahaulifu kiasi hicho!
Tuache sisi tumuunge mkono rais kwa mioyo na mikono safi!
 
The Best ever President.. My president JPM..

100% efficient, labda ukiwa CDM tu ndio utampinga, kama mwanadamu nakubali JPM anaweza kuwa na mapungufu madogo ya hapa na pale, but his best Leadership, corruption fighting & combating, patriotism na kujenga nchi yetu kwa vitendo hapo HAKUNA MASWALI.. He is the best, period..!!
Ok..unamaana jeipiemu anafanya vzr sio kuendesha nchi...
Kwanini hataki kukosolewa na mnasema Ana mapungufu yake...
Kwanini kwa hayo mapungufu yake hataki kukosolewa ila instead anataka wote tusifie...Mimi ninawalakini na ubinadamu wenu ambao ndo umebeba akili zenu...
KAma mtu anafanya kaz vzr kwann abane upinzani usifanye mikutano ila anataka askike yeye tu pekee..
Raisi wa ajabu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa ujiji mjini jana mh.Zito aliyasema hayo kwa jazba kidogo, na akaweka bayana kua ana washangaa wale wanaojiita wapinzani ambao kazi yao ni kumpinga tu Rais Magufuli kwa kisingizio cha kukipinga chama cha CCM.

Zitto sasa kaamua kuonesha rangi yake halisi ni ipi, na ametuaminisha ata yale maneno yake aliyokua anayasema ya kumpinga, kumponda na kumkebei Rais Magufuli tangu mwanzoni mwa mwaka huu yalikua ni ya uongo tu na ya kijinga sasa kashalijua kosa lake? Hahahahaaha yawezekana zitto sio smart kama ambavyo watu wengi tumekua tukimzania, na yawezekana asilimia 100 chadema haikukurupuka kumfukuza.

Zitto jifunze kua na akiba ya maneno ndugu yetu.
Kosa lile lile la watanzania wengi ndio linalokusumbua. Kudhani kwamba siasa ni uhasama na uadui.

Zitto anaangalia interests za wanakigoma, watu ambao bila ya wao asingekuwa hapa alipo kimaisha.

Zitto ameweza kwenda Kigoma na balozi wa Japan, na wameingia mikataba kwenye mambo mengi ya kimaendeleo kwa faida ya watu wa mkoa ule.

Kigoma ilikuwa kama Lindi na Mtwara, ni mkoa ambao unaenda kufunguka kwa sababu ya ujenzi wa barabara na uwepo wa umeme.

Tufike mahali tuachane na hizi siasa za kilofa, siasa za kumsubiri mtu ashindwe kufanikiwa kwenye masuala yake ili aweze kuchekwa na kubezwa.
 
Inavyoonekana zile nafasi ambazo bado hazijajazwa kama Jaji Mkuu na Waziri wa Madini/Nishati, zimeachwa hivyo kama mkakati maalum ili zitumike kama chambo cha kutegeshea watu wenye nia ya kuganga njaa.

Naona huu utaratibu wa rais kuteua watu ktk nyadhifa mbali mbali umefeli vibaya kwa maana ya neno kufeli hasa ktk nchi nyingi za Afrika kwani wateule wote hubaki kuwa kama "Shamba Boys tu"...!
 
Cuf na cdm wameunda ukawa, sioni tatizo ccm na act wakiunda ccmwazalendo hapo siasa zitakuwa zime balance,
 
Zitto kwenye ubora wake wa unafki

Send by Nokia 3310 from mbalizi-mbeya
 
Back
Top Bottom