Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

Utawajua yaani kutopata sup unajiona kipanga hahaha
Umewah kuwa TO ? ufaul wa chuo huo wa kupeana au unazungmzia upi
Kufaul facult za arts unajiona kipanga hahaha kapige medicine kama utaleta upupu huku kijana
Watu kama hawa huwa wanawashwa nn sijuwi!!
Amesoma kiswahili na history anakuja kuandika wehu WAKE! !
Isitoshe alikuwa anahonga (kama ni wakiume )au alikuwa anahongwa (Kama ni ke )
 
Ww acha wehu wako!!
Inategemeana unasoma facult gani,kama unasoma uwalimu tena kiswahili na history utasap vp,japo napo itategemeana unaishije na wenzako na Lecturers wako.
Muda mwingine SUP huwa haziepukiki.
ww umekaa ukaona unawashwa washwa na sup ukaona bora uandike ujinga wako huku!

UNAFIKIRI KWANINI WATU WANA GPA KUBWA NA HAWAKUWAHI KUPATA SUP STILL WAPO MTAANI??
JIONGEZE WW! !
 
Mwenzenu kesho nina sup exams ya injinia mbogosi,tumbo na week ijayo sup ya survey..WI tukutane kesho
BACK TO THE TOPIC.SUP MUHIMU WEWE NA HAZIKWEPEKI
Mimi Minu ananingoja hapa katikati, water quality Management. Nilikua Nazi NNE dadeki
 
Kilaza kumbe upo
I feel shame for you kuniita kilaza, shule yenyewe ujue ni IPI....water resources and Irrigation Engineering. By your information nasoma for fun just to have a Bachelor in Engineering. Ila mtaani nakimbiza ni balaa. I don't trust in certificates.
Nilisomaga sana kipindi hko sijitambui ndo nkapata Div 1 point 11 O level, by the way we una ngapi.
 
SUP naweza sema haitabiriki hata uwe genius at one point unaweza teleza thus why hata matokea ya mtihani rarely sana unapata A yote but in most cases kuna mengine unafaulu mengine unafeli ,SUP so ujinga ila ni compulsory it depend na mfumo wa chuo husika***
 
Back
Top Bottom