Wapinzani tumeukubali muziki wa Rais Magufuli

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Baada ya Viongozi wetu kuacha Sera na Itikadi ya kupinga Ufisadi na kupigania Rasilimali za Umma na badala yake kazi hiyo kufanywa kwa uhodari na Rais JPM, Sisi wapinzani wa kweli tunamuunga mkono Rais wetu na hatutakubali kudanganywa tena na Viongozi wetu ambao kimsingi tumewashtukia.

1. Ajenda yetu kuu ilikuwa kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma lakini Viongozi wetu wameifuta Ajenda hiyo na wanapigania Wageni wapore Rasilimali zetu! Hapa tumewashtukia!

2. Sasa tunaongozwa na Siasa za misimu za kupinga kila kitu chema cha Serikali ili tu tuonekane tupo. Hapa pia tumewashtukia Viongozi wetu!

3. Wanatetea wanafunzi wenye mimba kurudi shule wakati tukifahamu kwamba Taifa letu linapigania Maadili mema. Hapa tumewashtukia tena!

4. Wanatetea watumishi walioghushi vyeti wakati Sheria zetu zinasema hilo ni kosa la Jinai. Hapa pia tumewashtukia.

5. Wanapigania Bunge Live ili waonekane wakiwakashifu Viongozi wa Serikali na kutafuta Kick kwa nguvu. Hapa pia tumewashtukia!

Sisi Vijana tulioaminishwa kuwa kuna Mabadiliko ya Kweli kwenye upinzani na badala yake tukaletewa watu tuliowatangaza kuwa Mafisadi na kuondoa Orodha ya Mafisadi kwenye Tovuti ya Chama chetu tumeshashtukia kuwa kumbe tulidanganywa.

2020 hatutawapigia tena kura Wapinzani baada ya kuridhishwa kuwa walitutapeli na hawana jipya. Tutaendelea kuiamini CCM chini ya Jemedari JPM.
 
Hatuja kubali kazi zake kwa sababu serikali yake haiko wazi kabisa, wananchi kupewa case za magumashi wapo magerezani bila ya kufikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka zaidi ni kupiga case Dana Dana, hovyo hovyo kabisa.
Nchi inaongozwa kwa matamko ya RC na DC pamoja na Bwana yule
 
4 - vyeti vya Bashite unavyo nyumbani kwako? Pesa za kivuko feki unekula wewe? Ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli uwanja wa ndege chato, ukarabati wa bandari mikataba imepelekwa bungeni kujadiliwa? Serikali yenu imekuwa ni serikali ya Kesi kesi kesi kama mtaji wa kusaka huruma za watanzania Masikini ambao wengi ni waumini wa kusikia kama kesi kesi dhidi ya matajiri.
 
Wewe si mpinzani........
wapinzani wala hatuhamkubali ngosha na mpinzani wa kweli hawezi kumsifia mpinzani wake.....
Mungu mwenyewe anapingwa na shetani itakuwa binadamu wa nyama na mifupa.
 
Hatuja kubali kazi zake kwa sababu serikali yake haiko wazi kabisa, wananchi kupewa case za magumashi wapo magerezani bila ya kufikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka zaidi ni kupiga case Dana Dana, hovyo hovyo kabisa.
Nchi inaongozwa kwa matamko ya RC na DC pamoja na Bwana yule
Maliyamungu Bashite ana vyeti feki lakini ni mshauri wake mkuu na ndiyo mtengeneza zengwe za kuwabambikia watu kesi ( blackmail) wanatumia kesi kesi kama mtaji wa huruma toka kwa watanzania masikini.
 
Hakuna kitu kibaya anafanya magufuli kama kuwakomoa watu ajue ipo siku na yy atakomolewa kama chiluba maana malipo ni hapa hapa Duniani
 
Baada ya Viongozi wetu kuacha Sera na Itikadi ya kupinga Ufisadi na kupigania Rasilimali za Umma na badala yake kazi hiyo kufanywa kwa uhodari na Rais JPM, Sisi wapinzani wa kweli tunamuunga mkono Rais wetu na hatutakubali kudanganywa tena na Viongozi wetu ambao kimsingi tumewashtukia.

1. Ajenda yetu kuu ilikuwa kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma lakini Viongozi wetu wameifuta Ajenda hiyo na wanapigania Wageni wapore Rasilimali zetu! Hapa tumewashtukia!

2. Sasa tunaongozwa na Siasa za misimu za kupinga kila kitu chema cha Serikali ili tu tuonekane tupo. Hapa pia tumewashtukia Viongozi wetu!

3. Wanatetea wanafunzi wenye mimba kurudi shule wakati tukifahamu kwamba Taifa letu linapigania Maadili mema. Hapa tumewashtukia tena!

4. Wanatetea watumishi walioghushi vyeti wakati Sheria zetu zinasema hilo ni kosa la Jinai. Hapa pia tumewashtukia.

5. Wanapigania Bunge Live ili waonekane wakiwakashifu Viongozi wa Serikali na kutafuta Kick kwa nguvu. Hapa pia tumewashtukia!

Sisi Vijana tulioaminishwa kuwa kuna Mabadiliko ya Kweli kwenye upinzani na badala yake tukaletewa watu tuliowatangaza kuwa Mafisadi na kuondoa Orodha ya Mafisadi kwenye Tovuti ya Chama chetu tumeshashtukia kuwa kumbe tulidanganywa.

2020 hatutawapigia tena kura Wapinzani baada ya kuridhishwa kuwa walitutapeli na hawana jipya. Tutaendelea kuiamini CCM chini ya Jemedari JPM.
Umetumwa ww,

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nahisi una mimba nenda kapime
 
kwa hiyo ni sawa kumtetea mkuu wa mkoa kuwa na cheti feki na ni sahihi kuwatetea viongozi waliotufikisha hapa, ila unaona ni sahihi kuwashughulikia watoto ambao wanayoyafanya uwenda ni kwa ajili awajapevuka kiakili
 
Acheni Sifa..Magufuli sio mzalendo kama mnavyodhania...angekua mzalendo yale ambayo chama iliyafanya mabaya angeyapinga hadharani bila woga akiwa huko huko CCM sio kusubiria urais ndio ufumbue kinywa..ina maana Magufuli angekosa urais hiyo mihemko alonayo tusingeisiakia....Kiongozi WA hivo hua hafai.Mfano ni Bashe anapinga hadharani Yale anayoona chama chake inaenda kinyune au Dk Slaa alivyopinga hao ndio tunaweza sema wana uzalendo kindakindak
 
Baada ya Viongozi wetu kuacha Sera na Itikadi ya kupinga Ufisadi na kupigania Rasilimali za Umma na badala yake kazi hiyo kufanywa kwa uhodari na Rais JPM, Sisi wapinzani wa kweli tunamuunga mkono Rais wetu na hatutakubali kudanganywa tena na Viongozi wetu ambao kimsingi tumewashtukia.

1. Ajenda yetu kuu ilikuwa kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma lakini Viongozi wetu wameifuta Ajenda hiyo na wanapigania Wageni wapore Rasilimali zetu! Hapa tumewashtukia!

2. Sasa tunaongozwa na Siasa za misimu za kupinga kila kitu chema cha Serikali ili tu tuonekane tupo. Hapa pia tumewashtukia Viongozi wetu!

3. Wanatetea wanafunzi wenye mimba kurudi shule wakati tukifahamu kwamba Taifa letu linapigania Maadili mema. Hapa tumewashtukia tena!

4. Wanatetea watumishi walioghushi vyeti wakati Sheria zetu zinasema hilo ni kosa la Jinai. Hapa pia tumewashtukia.

5. Wanapigania Bunge Live ili waonekane wakiwakashifu Viongozi wa Serikali na kutafuta Kick kwa nguvu. Hapa pia tumewashtukia!

Sisi Vijana tulioaminishwa kuwa kuna Mabadiliko ya Kweli kwenye upinzani na badala yake tukaletewa watu tuliowatangaza kuwa Mafisadi na kuondoa Orodha ya Mafisadi kwenye Tovuti ya Chama chetu tumeshashtukia kuwa kumbe tulidanganywa.

2020 hatutawapigia tena kura Wapinzani baada ya kuridhishwa kuwa walitutapeli na hawana jipya. Tutaendelea kuiamini CCM chini ya Jemedari JPM.

Huna post hata moja inayokuonyesha wewe kuwa mpinzani. Acha porojo.
 
"Mzalendo" anaweza kuuza nyumba za umma kwa bei poa?? Kawadanganyeni less-intelligent lumumbian..
 
Baada ya Viongozi wetu kuacha Sera na Itikadi ya kupinga Ufisadi na kupigania Rasilimali za Umma na badala yake kazi hiyo kufanywa kwa uhodari na Rais JPM, Sisi wapinzani wa kweli tunamuunga mkono Rais wetu na hatutakubali kudanganywa tena na Viongozi wetu ambao kimsingi tumewashtukia.

1. Ajenda yetu kuu ilikuwa kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma lakini Viongozi wetu wameifuta Ajenda hiyo na wanapigania Wageni wapore Rasilimali zetu! Hapa tumewashtukia!

2. Sasa tunaongozwa na Siasa za misimu za kupinga kila kitu chema cha Serikali ili tu tuonekane tupo. Hapa pia tumewashtukia Viongozi wetu!

3. Wanatetea wanafunzi wenye mimba kurudi shule wakati tukifahamu kwamba Taifa letu linapigania Maadili mema. Hapa tumewashtukia tena!

4. Wanatetea watumishi walioghushi vyeti wakati Sheria zetu zinasema hilo ni kosa la Jinai. Hapa pia tumewashtukia.

5. Wanapigania Bunge Live ili waonekane wakiwakashifu Viongozi wa Serikali na kutafuta Kick kwa nguvu. Hapa pia tumewashtukia!

Sisi Vijana tulioaminishwa kuwa kuna Mabadiliko ya Kweli kwenye upinzani na badala yake tukaletewa watu tuliowatangaza kuwa Mafisadi na kuondoa Orodha ya Mafisadi kwenye Tovuti ya Chama chetu tumeshashtukia kuwa kumbe tulidanganywa.

2020 hatutawapigia tena kura Wapinzani baada ya kuridhishwa kuwa walitutapeli na hawana jipya. Tutaendelea kuiamini CCM chini ya Jemedari JPM.
Tanzania hamna vyama vya siasa, si upinzani wala tawala.

Sema jingine.
 
Back
Top Bottom