Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Habarini mkuu..
Kuna baadhi ya vyuo kama st john,st francis,kcmc,kampala vimefungwa sasa wakuu inakuaje kwa sisi tuliaopply course vya afya kwa ngazi za diploma je kuna madhara yoyote na ni kweli hivi vyuo vina hadhi kweli kwa wanaoendelea....
Note...nakiamini sana kcmc