Recent content by G_jam

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

    wewe unaweza ndiyo maana wanakuja na marafiki. Anzisha Movie theatre kama za akina Ronaldo au 50 cent
  2. G

    JamiiForums Tanzania Anatokaje black list bank?

    Huyo jamaa kwa kifupi siyo muaminifu. kukopa ni liability. Bank wanataka wateja waaminifu. Mwache awe mfano kwa wengine.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    wewe unapenda kukosolewa ? tena hadharani ?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

    Aliyesoma mtwara huko ni mmoja tu NANGWANDA SIJAONA alifariki 2005. Alizaliwa wakati wa mkoloni
  5. G

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

    Ach
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa imenizawadia kiharusi

    umeongea vizuri sana. Mke ni rafiki tu.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Usiwadanganye vijana kaka. ukweli umuweka mtu huru
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Angalia link https://www.youtube.com/watch?v=KYu_aoy9cBY
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    angalia link https://www.youtube.com/watch?v=KYu_aoy9cBY
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

    Ya kweli haya? Nitafatilia mkuu
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

    Ukomavu ni kuvumilia jambo bila kuonyesha umekwazika. unajiumiza bure. Potezea maisha yaendelee
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

    Hadi hapo ulipo hadithia ni kwamba ukipata nafasi ya kuwa kiongozi utakuwa ni kiongozi mzuri sana kwa sababu 1. umesema umekaa na wahuni lakini wewe hukuwa muhuni. Namaanisha unajua sababu zilizofanya wenzio wawe wahuni na solution kwao unayo ukipata platform nzuri. 2. Pili umesema ulikuwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    ila moyoni mwako ukweli unaujua. tumefunga mjadala
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Vp na hii ni hivi hata jeshini unaweza kuingia na masters kabisa ila siyo guarantee ukapata nyota unaweza kuchezea V za kutosha
Back
Top Bottom