Anatokaje black list bank?

Anatokaje black list bank?

Kwa hiyo huyo ndugu yako hana plan B zozote za kujikwamua zaidi ya kuchukua mikopo tu ndio ameona suluhisho la maisha yake?Hajui kwamba akichukua mkopo mwingine ndio atajikaanga zaidi
Elimu uchumi changamoto, anaamini suluhisho lipo kwenye kukopa.
 
Akaombe ku top uko uko kwny bank x ambao ndio wame mripoti CRB vinginevyo km anazo awalipe then wafanye clearance japo CRB hata release on the spot ni mpk mwezi mmoja uishe ki utaratibu
 
Hapo hamna ujanja,CRB hawawezi mtoa kwenye hiyo status mpaka x wakakiri upya kwamba hawakudai tena umeshawalipa pesa zao zote walizokuwa wanakudai.

Mshkaji wangu kanyimwa mkopo wa 8mln kisa elfu 7 ya timiza,ikabidi tu aende nmb maana hawashitaki huko CRB kwa watumishi wa umma. line husika hata haikumbuki tarakimu zake.
Mm niliwahi kunyimwa mkopo wa m 3 benki ya posta kisa songesha ya 1700/= ilibidi nilipe kwanza
 
Yeah siku hizi nasikia wameunganisha taasisi zote za kukopesha CRB. Ukiwa mkopaji msumbufu basi unapigwa pini.
 
Pia anaweza kuingia kwenye web CRB Kuna mahali utajaza taarifa flani flani then baada ya hapo watamtumia details zote. Na watamjulisha ni muda atakuwa cleared kutoka kwenye blacklisted. Mimi nilyajua hayo kwa sababu kuna dogo nilimsajiria line kwa ajili ya chuo akakopa Mpawa akachelewa kulipa, japo wakati mimi benki wanagoma kunikopesha tayari alikuwa amelipa kama mwaka mmoja nyuma. Nikatakiwa kuandika barua ya kujieleza ndo nikapewa loan
 
Ushauri mzuri, ntamfikishia.
 
H
Salam.
Kuna rafiki yangu mmoja ni mfanyakazi wa umma.

Miaka 5 iliyopita alichukua mkopo bank x.

Baada ya serikali kuleta mfumo mpya wa ESS akakuta bank x haipo kwenye orodha ya Mankato kwenye mshahara wake.

Aka Kaa kama miez 6 hivi akaamua kukopa kwenye bank nyingine yaani bank y.

Siku ya siku bank x wakarudi kufanya Makato yao, ile kuingia ikashindikana.

Ikawalazimu bank x kumkata marejesho kupitia mshahara wa ( take home).

Sasa bank x ilimripoti CRB na wamekua wakiendelea kukata mkopo wao kwa miaka miwili sasa.

Changamoto.

Mshikaji anashida ya hela, bank y inauwezo wa kumkopesha lakini kizingiti kipo kwa bank x ambao wamem-blacklist.

Amejaribu kuwasiliana na bank x, wamegoma kumtoa black list..

Je, afanyaje Ili bank y impatie mkopo?

Je ni halali bank x kuendelea kumblacklist mtu anaye rejesha mkopo?

Kiufupi haelewi lipi ni lipi na shida imembana.

Bank x anamkopo nao utakaoisha miaka 3 ijayo.

Nawasilisha kwa niaba.
Huyo rafiki yako ni WEWE MWENYEWE
 
Nawasilisha k
Huyo jamaa kwa kifupi siyo muaminifu. kukopa ni liability. Bank wanataka wateja waaminifu. Mwache awe mfano kwa wengine.
 
Back
Top Bottom