Recent content by g1986

  1. g1986

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kaka mshana naomba kuuliza tofauti ya Rav4 l na Rav j zote za mwaka 1999 Na gharama zake ziko vip? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. g1986

    Chondechonde Azam Media tuleteeni mbadala wa TV1

    Poleni sana mnaotumia ving'amuz vya azam
  3. g1986

    NAUZA RAUM YANGU MPYA 8.8 Milion

    Namba c mbona kuna d mbovu kabisa nadhani gari siyo namba
  4. g1986

    Only in Tanzania

    Da alafu wanakupiga thelathin na kukuambia hawana risiti original urudi kilometa kumi ukachukuwe risit ofisin yaan kituon da hii tanzania!!!!
  5. g1986

    Ushauri gari nzuri ya familia

    samahan mkuu kwani toyota voltz ni ngap iliyo poa
  6. g1986

    Ushauri gari nzuri ya familia

    Mkuu binafsi naomba nikushauri gari moja inaitwaToyota voltz naona iko poa sana ina cc 1700 vvti engen na pia iko confortable sana ila bajeti yako cjajua kama inatosha.
  7. g1986

    Fahamu zaidi kuhusu gari aina ya kuhusu Nissan Juke

    Habari za wakati huu naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anajua au analitumia gari aina ya Nissan Juke upatikanaji wake kwa hapa ndani na bei za hiyo gar? Nissan Juke UFAFANUZI ULIOTOLEWA NA WADAU ---
  8. g1986

    Inasemekana hoyo mlinzi wa makonda ndio alimtolea NAPE Pisto

    mwenye ile picha ya nape akishikiwa mguu wa jogoo tuone kuna wataalam wa kuscan sana
  9. g1986

    Gari inahitajika

    gari aina ya rav 4 old model 1999 nahitajika burget ml10
  10. g1986

    Ajira mpya zilizositishwa

    Vipi kuna tetesi zozote kwa ajili ya wale wanaosubir kupata ajira?
  11. g1986

    Prof. Baregu apinga ripoti ya Twaweza. Adai Rais Magufuli anaminya demokrasia

    Walifanya utafit kwa makada wa.......
  12. g1986

    TCU yapunguza vigezo vya kuingia Vyuo Vikuu kwa waombaji wa Diploma 2016/2017

    Nadhani ni muda wa kutulia nakuangalia system mpaka itakapotulia kwani naona sijachelewa kuaply hata mwakan wacha wafanye majaribio kwanza
  13. g1986

    Zaidi Ya Watumishi Hewa 17,100 Wafukuzwa Serikalini

    Msemakweli mpenzi wa mungu
Back
Top Bottom