Wanstechnical
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 266
- 223
Reli, ndege, magari yetu, nyie mtajijua kama mnataka na afya zenu, maendeleo yenu pia yaangaliwe na mapato haya.Ili ifanyie nini hayo mapato?
Reli, ndege, magari yetu, nyie mtajijua kama mnataka na afya zenu, maendeleo yenu pia yaangaliwe na mapato haya.Ili ifanyie nini hayo mapato?
factsMakosa yanapogeuzwa kuwa SOURCE OF INCOME.........
1. Tutaviziana, badala ya kuelimishana
2. Tutalazimishana kisa nguvu ya dola, badala ya kuelimishana
3. Tutategeana kila mitego ilimradi kila mtu anaswe
4. Tutapewa makosa mengi ili ngalau libaki moja na unayepewa kosa uone kama umesevu kwa kupunguziwa makosa
Nchi yangu naililia....
Huwa najiuliza sana hizi picha za kipekee huwa unazipata wapi!. Umekuwa ukituletea picha za kufikirisha.