Mwigulu Nchemba Tunakuheshimu sana Ila usitufanye sisi ni watoto wadogo.
Viongozi kama hawa ndio wanatakiwa ktk serikali hii, maana wanapangiwa kila kitu cha kuzungumza.Mwigulu Nchemba Tunakuheshimu sana Ila usitufanye sisi ni watoto wadogo. Mimi singumzii picha ya hapo juu ila ripoti yako iliyochapishwa gazetini kuwa yule muhuni siyo polisi.
Yule muhuni aliyemtolea Mh Nape bastola ana pingu mfuko wa nyuma kushoto upande alipochomekea bastola yake. Najua uwaziri ni cheo kikubwa na hutaki kukipoteza lakini ujue kuwa imani ndiyo itakusuta.
AKILI ZA KUAMBIWA ONGEZA NA ZAKO WE UNAONA HILO LINAWEZEKANA? ANGALIA SASA WANASEMA KUWA NI NANI!Eti inasemekana aliyemdhibiti nape kwa bastola ndio huyo hapo nyuma
Kama ni kweli maana yake aliyemtuma itakuwa bashite.k
Unapenda kufukua makaburiTutakutana huko huko