Recent content by G.T.L

  1. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

    MKuu, in 2030 nitakua nina 70 trust me. Kwa sasa nina 12 yrs as member wa JF
  2. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

    Mbona mimi nina miaka 67 na bado naperuz JF. Usituache mkuu, You bera watch our Threads
  3. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    cocastic you are shortlisted for Oral interview 😁
  4. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wote wa kesi ya Lissu Alhamisi, Septemba 24, 2026

    Mpaka hapo tu, DDP alitakiwa kesho aseme hana haja ya kuendelea na kesi kuliko kupoteza muda wa siku 90 kufanya maamuzi.
  5. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Godbless: Napingana na wengi, siungi mkono mashambulizi dhidi yake

    Asante kwa taarifa hii mkuu, sikuwahi kujua and it was 1996 (8 yrs old)
  6. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Godbless: Napingana na wengi, siungi mkono mashambulizi dhidi yake

    Mkuu tunaomba utufahamishe tusiofahamu hilo tafadhali sana.
  7. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Godbless: Napingana na wengi, siungi mkono mashambulizi dhidi yake

    Ni kweli mkuu nakujua kwa kuunga mkono CDM hata katika kipindi cha Magu alipodidimiza demokrasia, lakini kwa hili la Lema mkuu nakuomba uwe mpole tu maana huyo Lema angekua anahitaji ku solve mambo kwa busara asingeandika mambo ya chama mtandaoni hususani lile swala la Passport ya Heche. Lile...
  8. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Mkuu cheki PM
  9. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke amenipeti peti kama mtoto mdogo, simuachi

    Ukipata mwanamke wa kukunyenyekea, kukuheshimu, kukuhudumia zile huduma basic ya home na mtiifu, aisee usimuache huyo Muzee wangu utanikumbuka ukifikisha miaka 60
  10. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Mikocheni Hakuna umeme. Giza totoro

    Huku Zingiziwa ni nuru kama tupo peponi kwa Allah
  11. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Kuna Miungano Mingine ni ya ajabu anayenyonywa ndo anang'ang'ania usivunjike anayenyonya anataman uvunjike leo

    😂😂😂 we Muzee umekuaje? Kwani ulishawahi kunyonywa?
  12. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

    Hii ni Pure adrenaline top-tier crime thriller movie. Nimeagiza gunia la popcorn toka bangladesh
  13. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Mwagaa Mwagaa Mwagaaa
Back
Top Bottom