Umeona mkuu, watu labda wanafikiri wanaopanda mwendokasi hawajielewi au hawana funguo. Utakuta gari kumi za watu binafsi zimepanga foleni kila gari ina mtu mmoja moja yani dereva halafu bus moja watu zaidi ya 60 kwani hao wehu mpaka wote kujumuika wanakoenda mahala pamoja. Mfano mzuri wa...
Mkuu hoja yako nimeielewa. Ila point ni ile priority, mfano mzuri ntakupa katika junction ya Morogoro rd na Samora Ave, hua kuna askari akiyaona anazuia magari mara moja, likipita anaendelea kuyaruhusu magari kama kawaida. Hata dk haiishi kuliacha Bus kupita. Na hata kama taa hakuna utaratibu...
Safi sana kwa michango yenu kumbuka hili ni jukwa huru la kutoa michango ya mawazo. Kama gari hata mimi ninalo ninapaki ferry nikivuka naingia MwendoKasi. Kwanza napunguza msongamano pia na-save. So issue is not kua na gari issue ni uhalisia wa BRT
Haina maana kuita Mabasi ya MwendoKasi hali ya kua hayapewi kipaumbele katika junction za barabara.
Unakuta mabasi ya MwendoKasi 10 yamepanga foleni yanasubiri askari usalama aruhusu magari mengine kwanza yapite kisha ndo mruhusiwe nyinyi.
Haina maana sasa ya kulipia 650 bora upande daladala...
Mkuu, kiswahili kinaongelewa katika nchi takribani 50 duniani. Urusi raisi wake anaongea lugha yao akiwa katika mikutano kama hiyo, huo ni mfano na zipo nchi kadha wa kadha. Jivunie kilicho chako, maudhui ya hotuba pia kuonesha ufanisi wa lugha ya kiswahili africa. Kujua kingereza sio ndo ueledi...
Habari mabibi na mabwana
Natumai wanachama wenzangu wote mnaendelea vizuri. Kuna jambo ninaomba kutoka kwenu msaada juu ya kichwa cha habari tajwa hapo juu. Mkataba wa kazi kama unaisha karibu na mwisho wa mwezi kisha ukafanya taratibu za kukamilisha mkataba wako (Exit clearance). Baada ya hapo...
Habari me ni mwanachama mpya makazi yangu ni kigamboni mikwambe. Ni furaha kua katika miongoni ya wanachama natumai nitapata ushirikiano wa kutosha
Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.