Habari mabibi na mabwana
Natumai wanachama wenzangu wote mnaendelea vizuri. Kuna jambo ninaomba kutoka kwenu msaada juu ya kichwa cha habari tajwa hapo juu. Mkataba wa kazi kama unaisha karibu na mwisho wa mwezi kisha ukafanya taratibu za kukamilisha mkataba wako (Exit clearance). Baada ya hapo ukaambiwa mshahara utapata baada ya wiki mbili ukiisha huu mwezi uliomaliza mkataba. Yani kwa maana mfano mkataba unaisha tarehe 23, basi mwezi ukiisha tarehe 31, kisha kati ya tarehe 1 mpaka 15 ndo utapa ujira wako.
Tafadhali naombeni msaada juu ya hilo jambo sheria ya kazi inasemaje?