Karibu sana hiyo, ID yako ilikuwa inatosha...Naitwa Ally ni mwanachama mpya makazi yangu ni kigamboni mikwambe. Ni furaha kua katika miongoni ya wanachama natumai nitapata ushirikiano wa kutosha
Ahsanteni
Karibu sana hiyo, ID yako ilikuwa inatosha...
Hayajakatazwa, ni kuwa mwangalifu na unachokiandika...Kwa hiyo majina sahihi si sawa kuyatumia?