Recent content by G.Jacob

  1. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Rais Mteule wa Nigeria yupo Paris kwa Mapumziko

    Uchawi wameuweka mbele sana. Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
  2. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania FT || Mamelodi Sundowns Girls 1-0 Simba Queens | Semi Final | CAF Women's Champions League | 09 Nov 2022

    Kikweli wadada wanaupiga na wanastahili pongezi
  3. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Azam Media hakuna maslahi makubwa hadi watangazaji wake mahiri kutimka?

    Million mbili unaijua vizuri kwenye scale za mishahara mkuu?
  4. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dunia inamkuza Thomas Edison na kumuacha Nikola Tesla wakati alikua mwizi, jambazi na tapeli?

    Sio wote mkuu, wengi wao ni viazi kama sisi tu huku unavyoona Kuna vipanga na vimbulula [emoji1]
  5. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

    Mbona wewe hujaelezea uzuri wa Eminem anakipi Cha ziada kwenye ubora wake? Comment za wote unabishana nao wanatoa fact lakini wewe hamna hata moja kazi umebakia kusifia na kupinga bila vigezo. Huu ni utoto unaleta halafu kama hujui Ubora wa NAS ni vema kubadili ID yako kwanzia leo unaivunjia...
  6. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

    Daaaah we jamaa hebu kaa pembeniii basi mana kichwani kweupe unazingua.
  7. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

    Kwani Eminem anamzidi Nini Nas?...labda tuanzie hapo kwanza.
  8. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

    Unatumia kigezo gani?
  9. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Hiyo mikataba unayoisemea imevunjwa na vikwazo vilivyowekwa kwa Urusi.
  10. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Urusi-Ukraine ni jaribio la ukoloni mpya. Tanzania ipo kimya, kwanini?

    Sasa hivi ni dhahiri hizo block ulizotaja zinapigana Vita ndio mana tumeshikilia msimamo wetu "hatufungamani na yeyote kati yao".
  11. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Nani mwoga kati ya Russia na NATO yenye nchi kama 30?

    Historia inasema Russia ilikuwa Nchi kubwa sana kwa kila kitu lakini ikaja kupoteza moja ya siraha kubwa zaidi katika maendeleo yake namaanisha Uchumi na Umoja wake kusambaratika. Baada ya hapo kilichobaki ni kuhakikisha ulinzi wao unaimarika zaidi na ndio sababu leo hii kwenye uchumi...
  12. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

    Ukraine wamezuiwa kutumia bahari na tayari Nchi imezungukwa pande tatu na jeshi la Russia
  13. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Niliidharau sana Fiat kumbe ni kampuni hatari

    1974 - The majority shareholding in Magirus Deutz is bought by Fiat V.I. to simplify the creation of a European commercial vehicle group. 1975 - Foundation of the Iveco company. 1980 - Magirus Deutz sells its remaining share in Iveco (18%) to Fiat, and Iveco becomes a 100% subsidiary of Fiat...
  14. G.Jacob

    JamiiForums Tanzania Niliidharau sana Fiat kumbe ni kampuni hatari

    Fiat anamiliki 100% ya hisa zote za iveco(tangu 1980) na Fiat huyo huyo anamiliki Jeep(tangu mwaka 2014) hivyo akaziunganisha nguvu zizalishe matoleo kwa pamoja. Yaani kwa kifupi iveco na Jeep zimebaki kama brand name tu basi. Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom