Nani mwoga kati ya Russia na NATO yenye nchi kama 30?

memael

Senior Member
Sep 28, 2018
104
166
Naomba nijue ukweli kwenye JamiiForums wengine wanasema Urusi ni nchi maskini hata Jimbo moja la marekani linazidi nchi kubwa duniani kiuchumi ambayo ni Russia.

Kama Ni hivo kwanini marekani na NATO wenye utajiri mkubwa Sana duniani wanamgwaya Sana Russia kwenye masuala ya kivita

Mfano USA na NATO walipoanza Vita Iran na Russia akaingia kumsaidia Iran USA na NATO walishindwa, pale Venevuela USA alishindwa baada ya URUSI kutia mguu, na sasa hivi Ukraine Marais karibia 30 wenye uchumi mikubwa duania wanaumiza akili zao kwa nchi moja tu, ambayo Wanasema ni maskini.

Je, nauliza ni kweli URUSI ni nchi maskini kama wamagharibi wanavosema?
 
Na swala ya Vita nchi maskini hawezi kumudu Vita hata Kama atapigana na nchi kadogo kama ya Burundi
 
Nchi za NATO zinaogopa kuanguka kiuchumi baada ya vita ikiwa ni pamoja na kelele za raia wa nchi zao ambazo ni za kidemokrasia.

Russia hawana cha kupoteza huku wakitaka kutumia wingi wa vifaa vyao vya kijeshi na kuendeleza unaoitwa ubabe. Hii ni nchi ya 2 kwa viwanda vya silaha na uuzaji wake duniani
 
Naomba nijue ukweli kwenye jamii forums wengine wanasema Urusi ni nchi maskini hata Jimbo moja la marekani linazidi nchi kubwa duniani kiuchumi ambayo ni Russia.
Kama Ni hivo kwanini marekani na NATO wenye utajiri mkubwa Sana duniani wanamgwaya Sana Russia kwenye masuala ya kivita
Mfano USA na NATO walipoanza Vita Iran na Russia akaingia kumsaidia Iran USA na NATO walishindwa,pale Venevuela USA alishindwa baada ya URUSI kutia mguu,na Sasa hivi Ukraine Marais karibia 30 wenye uchumi mikubwa duania wanaumiza akili zao kwa nchi moja tu ,ambayo Wanasema ni maskini
Je nauliza Ni kweli URUSI Ni nchi maskini Kama wamagharibu wanavosema?
Haukusoma kiswahili? Ni muoga na si mwoga we ngosha
 
Nchi za NATO zinaogopa kuanguka kiuchumi baada ya vita ikiwa ni pamoja na kelele za raia wa nchi zao ambazo ni za kidemokrasia.

Russia hawana cha kupoteza huku wakitaka kutumia wingi wa vifaa vyao vya kijeshi na kuendeleza unaoitwa ubabe. Hii ni nchi ya 2 kwa viwanda vya silaha na uuzaji wake duniani
Kama Ni hivo kwanini nchi Kama Irak au Libya ,nchi za NATO ziliingia kwenye Vita na hazikuogopa kuangukia kiuchumi?
Basi Kama Ni hivo Basi Russia Ni nchi tajiri Ila wamagharibi wanatudanganya
 
Mmarekani bado hajaguswa vizuri, pia wananchi wake hawajaona umuhimu wa kupigana.

Kwa sasa maslahi ya mrusi yameguswa, ndio maana amejitutumua.

Pindi wamarekani watakaposema kwa pamoja wapo tayari kupigana hapatakuwapo kusita tena.

By the way, vita si kitu kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nijue ukweli kwenye jamii forums wengine wanasema Urusi ni nchi maskini hata Jimbo moja la marekani linazidi nchi kubwa duniani kiuchumi ambayo ni Russia.
Kama Ni hivo kwanini marekani na NATO wenye utajiri mkubwa Sana duniani wanamgwaya Sana Russia kwenye masuala ya kivita
Mfano USA na NATO walipoanza Vita Iran na Russia akaingia kumsaidia Iran USA na NATO walishindwa,pale Venevuela USA alishindwa baada ya URUSI kutia mguu,na Sasa hivi Ukraine Marais karibia 30 wenye uchumi mikubwa duania wanaumiza akili zao kwa nchi moja tu ,ambayo Wanasema ni maskini
Je nauliza Ni kweli URUSI Ni nchi maskini Kama wamagharibu wanavosema?
Ndio, NATO plus USA ni waoga...haya umefurahi?

Elewa kuwa vita sio Lele..! Ni gharama na uchumi unavurugika mno

Pili: Baada ya vita..ni umasikini...

Russia ni Madikteta...wananchi hawana sauti ya kuhoji

Nato ni Nchi za demokrasia....wananchi wanasauti

Wewe unaona hiyo vita ni mantiki?

Unataka tuwavamie Burundi au Malawi iwe mkoa wa Tanzania..use common sense
 
Kama Vita sio lelemama mbona NATO na USA wanapenda kupika Vita na nchi zingine
Mfano walilazamisha Libya kuingizwa vitani mpaka uchumi wa Libya imeharibiwa
Kwahiyo wanapenda kuchokoza nchi dhaifu?
 
Ikiwa kwa Russia Vita inaharibu uchumi
Ni kweli usemi wako?
 
Ndio, NATO plus USA ni waoga...haya umefurahi?

Elewa kuwa vita sio Lele..! Ni gharama na uchumi unavurugika mno

Pili: Baada ya vita..ni umasikini...

Russia ni Madikteta...wananchi hawana sauti ya kuhoji

Nato ni Nchi za demokrasia....wananchi wanasauti

Wewe unaona hiyo vita ni mantiki?

Unataka tuwavamie Burundi au Malawi iwe mkoa wa Tanzania..use common sense

Punguza makasiriko.
Toa elimu kwa ustaarabu.

#YNWA
 
Ulaya hawataki vita. Na ndo maana kuna nchi zilizopo Nato hazitaki Ukraine aingie Nato. Sema USA ndo anaetaka Ukraine iingie Nato kwa fursa zake anazozitaka pale Russia. USA yupo mbali hivyo hajali maana vita ikitokea Ukraine yeye wala haathiriki. Zitakazoathirika ni nchi za Ulaya kupokea wakimbizi waukrain n.k.
 
Vita sio yelemama
Ya kwetu na Uganda mpaka leo tunachechemea hatujakaa sawa

Vita inashusha sana uchumi au kuumaliza kabisa

Kuna nchi kama hawajawekeza sana kwenye ulinzi kwa miaka kadhaa
Inataka uwekezaji mkubwa sana kwenye ulinzi

Hakuna anaemuogopa mwenzie kila mmoja anataka aishi kwa amani na kuongeza kipato cha nchi kwa mambo mengine na vita haimo kwenye kuongeza zaidi ya kupunguza

Hakuna wa kupigana hapa
Putin anatikisa kibiriti na hata akivamia hawatapigana

Mjue Putin sio Saddam huyo alipovamia Kuwait dunia nzima ikamuadhibu
Hawa wanatengeneza hizo silaha na wako advance katika masuala ya kivita
Wanajua mkate utakuwa ghali mara 10 baada ya siku 30 za mwanzo tu
 
Historia inasema Russia ilikuwa Nchi kubwa sana kwa kila kitu lakini ikaja kupoteza moja ya siraha kubwa zaidi katika maendeleo yake namaanisha Uchumi na Umoja wake kusambaratika.
Baada ya hapo kilichobaki ni kuhakikisha ulinzi wao unaimarika zaidi na ndio sababu leo hii kwenye uchumi wameporomoka lakini kwenye siraha na mbinu za kivita ni wababe haswa (super military might) na hawamtegemei mshirika yeyote.
Hakuna Taifa lolote wala Umoja wowote upo tayari kupigana na Russia kwa sasa itakuwa ni maafa makubwa sana.
 
Ulaya hawataki vita. Na ndo maana kuna nchi zilizopo Nato hazitaki Ukraine aingie Nato. Sema USA ndo anaetaka Ukraine iingie Nato kwa fursa zake anazozitaka pale Russia. USA yupo mbali hivyo hajali maana vita ikitokea Ukraine yeye wala haathiriki. Zitakazoathirika ni nchi za Ulaya kupokea wakimbizi waukrain n.k.
Mkuu uko sahihi!
 
Mmarekani bado hajaguswa vizuri, pia wananchi wake hawajaona umuhimu wa kupigana.

Kwa sasa maslahi ya mrusi yameguswa, ndio maana amejitutumua.

Pindi wamarekani watakaposema kwa pamoja wapo tayari kupigana hapatakuwapo kusita tena.

By the way, vita si kitu kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna watu waoga kama Wamarekani. Marekani huwa anaonea wadogo ambao anajua hawawezi kumuathiri. Ila akiona anayepambana naye ana uwezo wa kuleta athari za moja kwa moja nyumbani kwake hamgusi.

Njia pekee anayoweza kuitumia kama mbadala wa kuingia vita ni vikwazo vya kiuchumi.
 
Back
Top Bottom