Canada na USA watatusaidia mikopo na msaada au hujawahi kusikia tangazo mwisho wanamalizia KWANIABA YA WATU WA MAREKANI,halafu hii n international forum na sio makinikini forum
yaani ni kama nnamuona juma pumba alivyokuwa akigonga meza na kuitikia NDIOOO kipindi miswada ya madini ikipitishwa bungeni tena kwa dharula huku akishangilia kwa kukata kiuno
M2 alienunua meli mbovu kwa bei ya kuruka na kuhonga nyumba za serekali leo ndio awe msafi na huyohyo wakati mikataba mibovu inapitishwa kwa hati ya dharula bungeni na yeye alishiriki kwa kusema NDIOOO eti leo amekuwa Malaika pumbavu sana na bado Mkataba wa gas mliousini usiku MASHETANI nyie...
yaani utengeneze virus wewe kwa miaka zaidi ya 20 bunge kwa kugonga meza na Kusema NDIOOOOO ukiwa kama mbunge na waziri kwa hiyo hiyo mikataba uliyoshiriki kuipitisha Leo una tengeneza Antivirus halafu unataka kutonyesha kwamba ndio unauchungu saana na rasilimali za nchii hii,sishangiliagi...
nimeiona clips kwenye acc inst ya kimambi, hadi nnajiuuliza hiv ule moto ungesambaa na kushika jengo tena la Emergency na zima moto wapo ila wamesimama hawafanyi lolote yaan kunahaja za kupitia mfumo wa zima moto na wafanyakaz wa hapo kama wanaufaham n kuzima moto
naona ma leaser ya marekani yanaingia kwenye combat for the first time naona wakimbizi wa N Korea wakikatiza bahari kuomba ukimbizi kwenye nchi za ulaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.