Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,715
- 29,653
Katika hali ya kusikitisha na kuogofya kulitokea moto ambao uliliangamiza gari huku wazima moto ambao wanakaa si umbali wa mita 100 wakiangalia. Pia hata msaada wa kuwepo fire extinguisher za hospitali haukwepo kitu ambacho ni hatari kwa maisha ya hapo. Nawaomba wahusika waliangalie hili ili lisije likatokea kwenye hospitali kwenye siku za baadae