Polisi waua watatu "wanaodhaniwa' kuua askari Kibiti. Hii kuua watu kwa kudhani mpaka lini?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Jeshi la polisi mkoani Pwani limewaua kwa kuwapiga risasi watu watatu wanaodhaniwa kuhusika na mauaji ya viongozi wa vijiji na vitongoji na askari polisi katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani.

Onesmo.jpg

Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani Onesmo Lyanga katika taarifa yake amedai kuwa watu hao wamefariki dunia wakati wakipelekwa hospitali ya Mission ya Mchukwi kwa matibabu baada ya kujeruhiwa kwa risasi miguuni na kiunoni walipojaribu kukimbilia porini wakiwa kwenye pikipiki baada ya kukaidi amri halali ya polisi iliyowataka wasimame kutokana na kuwatilia mashaka.

Lyanga amesema polisi waliokuwa katika doria walipata taarifa kutoka kwa wasafiri kuwa waliona pikipiki tatu zilizokuwa zinatokea Kibiti kupitia barabara kuu ya Dar es salaam -Lindi zimepakia watu watatu kila moja na pikipiki mbili kati ya hizo ziliwabeba waliovalia hijabu ndipo walipowapa taarifa askari wa usalam barabararni walioko katika kizuizi cha Mparange ili wawasimamishe na kuwatambua lakini hawakutii amri.

Kamanda Lyanga alizidi kueleza kuwa askari wa kituo cha Mwembe, Muhoro waliwasimamisha lakini hawakutii amri na kuongeza kasi, ndipo askari waliwafuatilia hadi kuvuka daraja la Mkapa na wakatoa onyo kwa kufyatua risasi hewani lakini waliendelea kukaidi amri. Baadaye watu hao waliamua kuruka kutoka kwenye pikipiki zao na kukimbilia msituni, kitendo kilichowafanya polisi kuwafyatulia risasi za miguuni na kiunoni na kuwakamata lakini walifariki dunia wakati wakikimbizwa hospitali ya Mission ya Mchukwi ambako daktari alithibitisha watu hao walikuwa wameshafariki

Kamanda amesema majeruhi hao waliovalia hijabu baadaye walitambulika walikuwa wanaune waliotumia pikipiki aina ya boxer yenye namba za usajili MC 272 BLW.

Maoni:
Unasema walikuwa 3 wote wanapikipiki ila mwishoni wamekamata pikipiki 1 inamaana gani hapa kama sio kutunga story
 
Palaver
 
Tunajua wanaosumbua kwa uhalifu ni ndugu na marafiki zenu na hamtaki kuwakataza wala kutoa taarifa anagalu wakamatwe wafunge badala ya kuuawa.
Mfano km wewe ulifurahi askari kuuawa na leo unalalamika mhalifu kuuawa hata aibu huna!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom