Trump aiondoa Marekani kwenye mkataba wa Paris

Trump aiondoa Marekani kwenye mkataba wa Paris

Anajiondoa ili azitumie zile Nukes na ICBM zinakaribia ku expire so anakwepa masharti ya air pollution..huoni baadae anasema "nitarudi" sasa zitatumika wapi mim sijuw
de0059673fbb8c1c9d6b8c902f5483b8.jpg
Huyu na Assad wajiandae kupromote expiration ya hizo weapons.
 
Pittsburgh mayor hits back after Trump invokes city in climate speech

By Eli Watkins, CNN

Pittsburgh mayor hits back after Trump invokes city in climate speech - CNNPolitics.com

Updated 1:09 AM ET, Fri June 2, 2017


Washington (CNN)President Donald Trump invoked the people of Pittsburgh to defend his climate change decision Thursday, and the city's mayor bristled in response.

Explaining his choice to withdraw the US from the Paris climate agreement, Trump said: "I was elected to represent the citizens of Pittsburgh, not Paris."
Pittsburgh's Democratic Mayor Bill Peduto, in an interview on CNN's "The Situation Room with Wolf Blitzer," said Trump was off-base to point to his choice as benefiting the city -- in part because Pittsburgh swung strongly for Hillary Clinton.
"The city of Pittsburgh voted for Hillary Clinton with nearly 80% of the vote," Peduto said. "He may be talking about all of western Pennsylvania, but it's a far cry from being Pittsburgh."

Pittsburgh is in Allegheny County, a blue pocket in the red region of Western Pennsylvania. Allegheny as a whole swung by more than 10 points for Clinton.

Peduto told CNN affiliate WPXI he was "outraged" at Trump's line.
"Pittsburgh is the example," Peduto said. "We were that city that China is like today where the smoke was so, filled the air so much, that the streetlights would stay on 24 hours."
Peduto told CNN he would issue an executive order Friday pledging Pittsburgh would follow through on carbon reduction goals.
It's up to cities -- not the federal government -- to ensure carbon emission guidelines are being followed, according to the mayor.
"In cities across America, you'll see mayors standing up and saying, 'we got this,' " he told AC 360.
When host Anderson Cooper asked him whether he has a message for the President, the mayor said: "What you did was not only bad for the economy of this country, but also weakened America in this world."
On Twitter after Trump's speech, Peduto pushed back against the President invoking Pittsburgh.
"The United States joins Syria, Nicaragua & Russia in deciding not to participate with world's Paris Agreement. It's now up to cities to lead," Peduto tweeted.
 
Sisi tunaingiaga mikataba kichwa kichwa kama nyumbu ni wakati sasa kwa mh Rais na yeye kuangalia mikataba ambayo moyo wake na imani yake inamuonyesha inatunyonya kuivunja!!
 
huyo jamaa mzalendo sana kwa watu wake kila mkataba anaangalia wananchi wake watafaidika na nini sisi huku viongozi wetu hawajali ajira za wananchi wao wanafanya tu maamuzi tu ndio maana wasiokuwa na ajira wanaongezeka kila siku.
 
Hongera sana Trump

Mie namuunga mkono kwa kitendo chake cha kuwa na msimamo hata iwapo kwa baadae atabadili uamuzi wake huo na kurudi mezani coz walikuwepo marais waliomtangulia akina Clinton, Bush na Obama mbona na wao hawakusaini hiyo mikataba?

Sasa mbona leo wanamshinikiza Trump asaini?

Coz kama walijua ni mizuri basi wangeanza wao kwa kusaini,
Trump nae ameamua kupita mule mule walimopita waliomtangulia!

Sioni sababu za kumraumu Trump bali Obama nae alipaswa aulizwe ni kwann hakusaini wakati akiwa Rais?

Na hii naona huwa sio hoja ya mtu mmoja kukubali au kujitoa
Nahisi hii ni hoja ya Taifa kwa kulinda viwanda vyao!

Kupunguza 7% ya carbon ambayo kiukweli ni kubwa mno

Angalia Germany kwa sasa japo wamehamia ktk Green technology ambayo ni gharama sana!
 
Yaani Trump ni kama Magu tu hawana ya wenzao wapo wapo tu naamin hata US nowadays namba inasomeka.
 
But we share the same planet, this is bad news for our future générations. Hivi ulishafika shangai au Beijing ? Jamani kule air pollution mpaka watu wanavaa mask.Trump ni bogus kabisa yupo pale kumkomoa Obama. Waendelee kuchafua mazingira ila the price tutalipa wote. Climate change is real. Save the planet
Umesoma huo mkataba? Unajua hiyo China imependelewa kiasi gani? Unafahamu kwanini Donald kajitoa na nchi yake? Au unatukana tu sababu una Uhuru huo?
 
Huyu jamaa ndiyo maana hata NATO hawajamsapoti sana kuhusu North korea, Macron kasema Paris accord is non negotiable pia Angel merkel kamgomea Trump kuhusu umabavu wake wa kutaka kubadili Paris accord, wakati huo huo China anayoisakama kuchafua sana mazingira anaitegemea imsaidie kushughulikia suala la North Korea. Trump bado ana kazi sana ya kucheza na Geo politics.
Hao wote uliowataja wananufaika na hiyo agreement, Marekani ndio mchangiaji mkubwa, China na India wamerubusiwa kuongeza machimbo ya coal, na hawalipi fidia yoyote
 
Ndipo ulimwengu ujue kuwa umilki wa mali kama vile majumba makubwa ya aina ya Trump Tower siyo kipimo cha akili kichwani. Kadri siku zinavyokwenda ndipo ukweli kuhusu uwezo mdogo wa Trump katika kufikiri unapozidi kudhihirika. Alikaa na rais wa China siku moja tu, jamaa yule akagundua kuwa anaongea na kilaza iwa ajabu, kabidi ampe fundisho la dakika kumi na tano tu. Mama Merkel alipoongea naye akaona kuwa iwapo huyu ndiye atakuwa kingozi wa NATO basi wameliwa. Jamaa huyu ni bogus kuliko hata Bush mara mia.

Tatizo kubwa ninaloona katika future ya marekani ni kuwa nchi hii haitaongoza dunia tena katika miaka kumi na tano ijayo. Umuhimu wa elimu umepungua sana katika nchi hii kiasi kuwa ukiangalia graduate programs za vyuo karibu vyote zina wanafunzi wa kutoka nje tu. Idadi ya watu wanaosoma kumaliza digrii inapungua kidogo kidogo, na hao ambao hawana college degree ndio waliomchagua Trump. Aliwadanganya kuwa atawafungulia migodi ya makaa ya mawe tena ili wapate kazi wakati Obama aliwaambaia atawekeza katoka elimu ya ufundi ili wapate kazi za kisasa lakini wao katika kuchagua kwenda chuoni kujifunza teknology na kubeba sululu akachima makaa ya mawe walkachagua sululu..
 
Back
Top Bottom