Recent content by Fyafyafya

  1. F

    Wapenzi wa mpira wa Miguu; Hii hapa Fursa katika Soccer ambayo ulikuwa huidhanii!

    Kufanya biashara ya kuonesha mpira wa miguu; Fursa pekee iliyoko nyuma ya pazia! Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote has hasa vijana wakiongoza. Hapa nchini Tanzania; Wanaume ndio wanaongoza kwa kushabikia mpira...
  2. F

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Ndio. Karibu 1. A 2 z Soccer Hall .Tupo Kibaha mkabara na kanisa la TAG 2. Vijana Stadium . Tupo Tandale kwa tumbo. Huduma zetu ni nzuri sana. Kumbi za kisasa zenye kila kitu cha kisasa. Usalama wa uhakika muda wote. Sreen Tv ziko zaidi ta tatu na zimefungwa mahara sahihi kila mtu kuona...
  3. F

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Kufanya biashara ya kuonesha mpira wa miguu; Fursa pekee iliyoko nyuma ya pazia! Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote has hasa vijana wakiongoza. Hapa nchini Tanzania; Wanaume ndio wanaongoza kwa kushabikia mpira...
  4. F

    Watanzania tuache kulalamika eti Vyuma Vimekaza; Tuchangamkieni hii Fursa

    Kufanya biashara ya Kuonesha Mpira wa miguu; Fursa iliyoko nje ya pazia! Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote has hasa vijana wakiongoza. Hapa nchini Tanzania; Wanaume ndio wanaongoza kwa kushabikia mpira kuliko...
  5. F

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Kufanya biashara ya kuonesha mpira wa miguu; Fursa pekee iliyoko nyuma ya pazia! Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote has hasa vijana wakiongoza. Hapa nchini Tanzania; Wanaume ndio wanaongoza kwa kushabikia mpira...
  6. F

    Mbio za Kilimarathon Mjini Moshi wakenya wazidi kuonesha ubabe wao

    Kama kawaida; kwenye mbio za kilimarathon; wakenya huwa wanazota tuzo zote katika kategories za mbio. Mwaka jana tu ndo mtanzania mmoja alitutoa kimasomaso kwa kushinda kategori ya Mita 21 kwa kuibuka mshindi na washindi wengine walofata walikuwa wakenya. Hata leo kwenye hizi mbio za...
  7. F

    Tazama kwanini maneno ya lugha ya Kiingereza zaidi ya 45% yana asili ya lugha ya Kifaransa

    Si kweli! kuwa lugha ya kiingereza na kifaransa zina misingi ya kitaliano! Huo ni uongo. Si kiingereza wa la si kifaransa kinamsingi wa kitaliano! Hakuna hata moja mkuu!! Mambo yako hivi: Kiingereza ni jamii ya Lugha za Germanic ( Germanic languages) Kifaransa ni jamii ya Lugha za kirumi (...
  8. F

    Siasa ni Maisha; ni uhai! Ona jinsi gani siasa ilivosababisha wafaransa kuuwa waingereza na Lugha yao ya kiingereza!

    Bonjour! bonjour! bonjour!! Hello! hello! hello!! Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni maneno Lukuki ya Kifaransa. Pengine kwa kuwa sifa moja wapo za Lugha ni kukua na katika ukuaji wa...
  9. F

    Tazama kwanini maneno ya lugha ya Kiingereza zaidi ya 45% yana asili ya lugha ya Kifaransa

    Kama unajifunza kifaransa ( beginner) basi kamuulize mwalimu wako au kachunguze kwenye dictionnary
  10. F

    Ona hapa ni kwa nini Maneno zaidi ya 45% ya Lugha ya Kiingereza yana Asili ya Lugha ya Kifaransa.

    Bonjour! bonjour! bonjour!! Hello! hello! hello!! Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni maneno Lukuki ya Kifaransa. Pengine kwa kuwa sifa moja wapo za Lugha ni kukua na katika ukuaji wa...
  11. F

    Tazama kwanini maneno ya lugha ya Kiingereza zaidi ya 45% yana asili ya lugha ya Kifaransa

    Bonjour! bonjour! bonjour!! Hello! hello! hello!! Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni maneno Lukuki ya Kifaransa. Pengine kwa kuwa sifa moja wapo za Lugha ni kukua na katika ukuaji wa...
  12. F

    Hamisha hamisha ya walimu wa sekondari kwenda Msingi yakwama shule za mijini; wingi wa walimu shule za msingi yaelezwa!

    Wasalaam wanajamii! Toka mwaka huu uanze na hasa hasa kuanzia tarehe 19 mwezi januari baada ya kutoka kwa ile barua ilokuwa ikiwaelekeza wakuu wa mikoa kupitia wakurugenzi na maafisa elimu kupungunza walimu wa sanaa na kuwahamishia shule za msingi zilizopo karibu; zoezi lililopangwa kukamilika...
Back
Top Bottom