Hamisha hamisha ya walimu wa sekondari kwenda Msingi yakwama shule za mijini; wingi wa walimu shule za msingi yaelezwa!

Fyafyafya

Member
Nov 30, 2017
53
187
Wasalaam wanajamii!

Toka mwaka huu uanze na hasa hasa kuanzia tarehe 19 mwezi januari baada ya kutoka kwa ile barua ilokuwa ikiwaelekeza wakuu wa mikoa kupitia wakurugenzi na maafisa elimu kupungunza walimu wa sanaa na kuwahamishia shule za msingi zilizopo karibu; zoezi lililopangwa kukamilika tarehe 15 mwezi wa pili yaani Alhamisi wiki hii. Walimu walowengi hasa wa masomo ya sanaa wamekuwa tumbo joto na baadhi yao hapa nchini kwenye mikoa mbalimbali wameshapewa barua za uhamisho zikionesha shule ya msingi ya karibu anayohamia.

Mpaka sasa hali imekuwa sintofahamu kwa shule za sekondari za mijini na majiji. Kwani mpaka sasa miji na majiji mengi walimu wa sanaa katika shule mbali mbali hawajapewa bado barua. Na hata hili swala la uhamisho imesakuwa kama zilipendwa! Hakuna kinachoendelea! Ukimya mkubwa umetanda sana.

Ukimya huu unasadikika kuwa maafisa elimu wameshindwa wafanyeje kubalance hii IKAMA maana wamegundua kuwa hata huko shule za msingi walimu wamejaa mno mpaka basi. Walimu shule za msingi katika miji na majiji hapa nchini ni wengi hata kuliko masekondari! The equation can't be balanced!!!

Kinacho wakwamisha wakui wamikoa ; maafisa elimu na wakurugenzi wengi wa sehemu ambapo uhamisho huo haujaanza ni kitu kimoja tu; wanajiuliza, je wawapeleke walimu hao wa sanaa shule za msingi kulikojaa pia ili kubalance IKAMA sekondari?

Je wasolve tatizo la wingi wa walimu sekondari na wapeleke mafuliko ya walimu shule ya msingi? Mpaka hapo kweli hawana cha kufanya. Vikao vinakalika ila no solution!

Wepesi ungejuwa kwao kama barua ile ingewataka kuwahamisha walimu hao wa sanaa walozidi masekondali mahali popote ndani ya wilaya au mkoa bila kujali ukaribu ;hapo mambo yangeenda. Ila mpaka sasa ngoma imedunda!

Mikoa mingi walimu wamejaa sana si shule za msingi na hata sekondari. Kote ngoma ni draw!

Vijijini na sehemu za ndani ndani ndo walimu ni shida wawe wa sanaa wenyewe na hata wa science! Shule nyingi hazina walimu wa Geography na kiingereza. Hata walimu hao wa kiswahili na History ni haba sana huko vijijini.

Serikali ingeondoa kigezo cha kuhamisha walimu wa sanaa kwenda kwenye shule za karibu na ya sekondari wanayohamishwa. Yaani kigezo cha uhamisho wa ndani ya kata kingetenguliwa kwani mpaka sasa ni shule za mjini na majiji chache ambazo wakuu wa mikoa wamefanikisha mpango huu.

Kwa mfano katika manispaa ya Moshi ( kwa wachaga ) kuna shule za sekondari takribani 14 na hizo zote walimu wamejaa mpaka basi. Sasa kuna taarifa ya chini chini kuwa walimu wanaohitajika primary wako 6 tu! Je hao wengine wa sanaa walorundikana masekondari watapelekwa wapi?

My take!

Serikali itenge fungu la uhamisho kwa walimu hao wa sanaa na iwasambaze mahali panapokuwa na uhitaji!

Mijini; Manispaa na Majiji walimu wamejaa kote si primary au sekondari.Basi Serikali iwahamishe walimu wa sanaa katika shule za msingi na sekondari zilizopo vijijini na maeneo ya ndani ndani ndani ya wilaya; mkoa au ikibidi hata nje ya wilaya; mkoa au jiji.
 
SUALA SIYO WINGI WA WALIMU,UPO MRUNDIKANO MKUBWA WA WANAFUNZI KTK SHULE ZA SEKONDARI ZA MAJIJI,MANISPAA NA MIJI. DARASA LINAKUWA HADI NA MIKONDO 5 UNAFIKIRI MWL MMOJA ANALIBEBA ATAWEZA KUSAHIHISHA NA KUFUATILIA MWANAFUNZI MMOJAMMOJA?

KUPELEKA WALIMU NJE YA WILAYA AU MIKOA LINA GHARAMA KUBWA KULIKO KUWAACHA KTK VITUO VYA KAZI WALIPO.

IKUMBUKWE KUWA TAKWIMU ZA SASA ZA IDADI YA WANAFUNZI SIYO YA MWAKA KESHO.SHULE ZA MSINGI WSNAFUNZI WAMEONGEZEKA SANA HIVYO MWAKA 2019 KUTAKUWA NA ONGEZEKO KUBWA LA WANAFUNZI SEKONDARI.MAANA YAKE KUTAKUWA NA UHITAJI WA WALIMU WENGI SEKONDARI HIVYO HAWA WALIOPO WAKIHAMISHWA,MWAKANI KUNAWEZA KUKAWA NA ZOEZI LA KUHAMISHA KUTOKA PRIMARY TO SECONDARY.HII ITAKUWA SHIDA.

MI NADHANI UNGEFANYIKA UTAFITI MDOGO WA KIELIMU KWA KUANGALIA IDADI YA VIPINDI KWA KILA MWL SEKONDARI, IDADI YA WANAFUNZI,NAMNA MWL ANAVYOWEZA KUMUDU WANAFUNZI HAO, MAJUKUMU MENGINE YA KIKAZI MWL ALIYONAYO.

INAANGALIWA IDADI YA VIPINDI TU LAKINI SHULE ZA SEKONDARI KUNA MAJUKUMU MENGINE MENGI YANAYOATHIRI BAADHI YA WALIMU KUFUNDISHA DARASANI VYEMA. MFANO:
1. MAKAMU MKUU WA SHULE
2. TAALUMA
3. NIDHAMU
4. MWALIMU WA FEDHA MAKE SHULE NYINGI HAZINA WAHASIBU
5. MATRON
6. PATRON
NA HAWA MUDA MWINGI WABASHUGHULIKA NA KAZI NYINGINE NYINGI NJE YA DARASA AMBAZO NI MUHIMU KTK KUENDELEZA TAALUMA SHULENI.WAKITOKEWA KWA MKUPUO WATAKAOBAKI KAZI ZINAWEZA KUWALEMEA NA KUKWAMISHA HUDUMA KWA WANAFUNZI NA WADAU WENGINE WA ELIMU.
THIS IS NOT A SIMPLE ISSUE.
 
Wanayajua haya isipokuwa inatafutwa kiki.
 
Swali. Mh raisi na waziri Mkuu wetu walitoa maelekezo thabiti juu ya kuhama kwa mtumishi, moja likiwa ni malipo kwanza, najua hata kama ni ndani ya wilaya au kata, je, ile disturbance allowance watatoa? Na je itakuja kabla ya mwalimu kuhama au ndo kuandikia arrears?
 
Mh. Mlinga ashawaambia walimu wa vijijini wanaishi kama makomandoo, sasa wategemea hao wa mjini wataweza
 
1. My. Mnyeti akisikia habari hizi .......
2. Suluhu ya uhakika in kuajiri waalimu wa primary.
3. Mwaka 2020 shule za sekondari zitapokea wanafunzi mara mbili ( wale wa miaka 7 na 6). Je hili limeangaliwa, miundombinu je?
4. Mambo ya inji bhana. Unaajiri leo, kesho unamwambia mmezidi.
 
1. My. Mnyeti akisikia habari hizi .......
2. Suluhu ya uhakika in kuajiri waalimu wa primary.
3. Mwaka 2020 shule za sekondari zitapokea wanafunzi mara mbili ( wale wa miaka 7 na 6). Je hili limeangaliwa, miundombinu je?
4. Mambo ya inji bhana. Unaajiri leo, kesho unamwambia mmezidi.
 
SUALA SIYO WINGI WA WALIMU,UPO MRUNDIKANO MKUBWA WA WANAFUNZI KTK SHULE ZA SEKONDARI ZA MAJIJI,MANISPAA NA MIJI. DARASA LINAKUWA HADI NA MIKONDO 5 UNAFIKIRI MWL MMOJA ANALIBEBA ATAWEZA KUSAHIHISHA NA KUFUATILIA MWANAFUNZI MMOJAMMOJA?

KUPELEKA WALIMU NJE YA WILAYA AU MIKOA LINA GHARAMA KUBWA KULIKO KUWAACHA KTK VITUO VYA KAZI WALIPO.

IKUMBUKWE KUWA TAKWIMU ZA SASA ZA IDADI YA WANAFUNZI SIYO YA MWAKA KESHO.SHULE ZA MSINGI WSNAFUNZI WAMEONGEZEKA SANA HIVYO MWAKA 2019 KUTAKUWA NA ONGEZEKO KUBWA LA WANAFUNZI SEKONDARI.MAANA YAKE KUTAKUWA NA UHITAJI WA WALIMU WENGI SEKONDARI HIVYO HAWA WALIOPO WAKIHAMISHWA,MWAKANI KUNAWEZA KUKAWA NA ZOEZI LA KUHAMISHA KUTOKA PRIMARY TO SECONDARY.HII ITAKUWA SHIDA.

MI NADHANI UNGEFANYIKA UTAFITI MDOGO WA KIELIMU KWA KUANGALIA IDADI YA VIPINDI KWA KILA MWL SEKONDARI, IDADI YA WANAFUNZI,NAMNA MWL ANAVYOWEZA KUMUDU WANAFUNZI HAO, MAJUKUMU MENGINE YA KIKAZI MWL ALIYONAYO.

INAANGALIWA IDADI YA VIPINDI TU LAKINI SHULE ZA SEKONDARI KUNA MAJUKUMU MENGINE MENGI YANAYOATHIRI BAADHI YA WALIMU KUFUNDISHA DARASANI VYEMA. MFANO:
1. MAKAMU MKUU WA SHULE
2. TAALUMA
3. NIDHAMU
4. MWALIMU WA FEDHA MAKE SHULE NYINGI HAZINA WAHASIBU
5. MATRON
6. PATRON
NA HAWA MUDA MWINGI WABASHUGHULIKA NA KAZI NYINGINE NYINGI NJE YA DARASA AMBAZO NI MUHIMU KTK KUENDELEZA TAALUMA SHULENI.WAKITOKEWA KWA MKUPUO WATAKAOBAKI KAZI ZINAWEZA KUWALEMEA NA KUKWAMISHA HUDUMA KWA WANAFUNZI NA WADAU WENGINE WA ELIMU.
THIS IS NOT A SIMPLE ISSUE.
pia 2020 au na 21 sekondari yataenda madarasa mawili la sita na la saba
 
Back
Top Bottom