Mbio za Kilimarathon Mjini Moshi wakenya wazidi kuonesha ubabe wao

Fyafyafya

Member
Nov 30, 2017
53
187
Kama kawaida; kwenye mbio za kilimarathon; wakenya huwa wanazota tuzo zote katika kategories za mbio. Mwaka jana tu ndo mtanzania mmoja alitutoa kimasomaso kwa kushinda kategori ya Mita 21 kwa kuibuka mshindi na washindi wengine walofata walikuwa wakenya.

Hata leo kwenye hizi mbio za kilimarathon za mwaka huu wakenya wamezidi kutuonesha umwamba wao katika mbio kwa kushinda allkategori.
 
fyafyafyafyefye hawa wakenya wanafanya mazoezi usiku na mchana wabongo wakiona mvua kidogo wanahairisha mpaka kiangazi sasa utamshinda nani?ngoja niwape mikoa ya kufanyia mazoezi,pale ruvuma nenda wilaya ya mbinga,pale iringa nenda wilaya ya makete,pale mbeya nenda rungwe,ileje,tukuyu ,morogoro nenda matombo huko,arusha,kilimanjaro
 
Back
Top Bottom