Recent content by fwasikilega

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hasira za Gen Z ya Kenya; Chanzo Chake ni Umaskini Uliotopea

    Kwa hyo walimu ndo wanavaa vibaya😀😀😀😀
  2. F

    JamiiForums Tanzania Bei ya mpunga Kwa mkoa wako ipoje?

    Mafuta???
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wasomali na Midomo yao, haifungi!

    Wala sio wasomali peke yao hata watutsi. Kama unawajua waha wa Kigoma Manyovu (jamii ya watutsi) wako hivyo hivyo meno ya mbele makubwa.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Jaman usije ukajaribu huo upuuzi. Ukaache ndoa yako uloijenga kwa misingi na miaka kisa kijana jaman. Nakuhurumia dada
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili wa Tanzania washikiliwa DRC kupisha uchunguzi wa mauaji ya raia

    I have a brother yuko Congo kwenye MONUSCO baada ya hilo tukio at first ilisemekana ni waganda nkawasiliana nae jana kumuuliza akasema askar walioua raia ni WaTz na nikabahatika kuona video ya tukio. Tusipende kuwalaumu ndugu zetu embu tuwaombeeni jaman
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mechi ya marudiano kati ya Tanzania na Somalia ni lini?

    Sopu na Dickson Job
  7. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Napendekeza Serikali kutumia mifumo ya TEHAMA

    Kama ww unauwezo peleka wanao kwenye shule za mawaziri. Kuna wanafunzi wanachaguliwa kidato cha 5 wanashindwa kwenda sababu ya ada
  8. F

    JamiiForums Tanzania Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

    Unacertify copy. Lakin unaenda pia na original cheti athibitishe ili anapocertify awe na uhakika kweli ni copy of the origin certificate
  9. F

    JamiiForums Tanzania Iringa (V) Kama Hii ni Kweli Basi Kazi Ipo

    Ruaha Mbuyuni sio Iringa vijijini ni Kilolo. Mbona ofisi zimejengwa Kalenga?
  10. F

    JamiiForums Tanzania YELLOW CARD APPLICATION

    Habari wakuu Naomba kusaidiwa elimu kuhusu hyo app tajwa hapo juu nimeona inahusishwa na mambo ya Bitcoin. Nanukuu "Hi, Yellow Card is a safe platform where you can buy or sell supported cryptocurrencies with your local currency. Here’s a link to sign up for a Yellow Card account. Yellow Card"...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Best Turkish series & movies

    Desire. Turkish series Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mliopo Uwanjani tupeni matokeo ya Taifa Stars Vs DRC

    Lusajo yuko Namungo fc Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Wakuu bodi siwaelewi kabisa. Nilitarajia baada ya makato ya mwezi wa nane ningebaki nadaiwa pesa kidogo kama elfu 70. Lakin nimejaribu kuingia kwenye account yangu ya bodi nimekuta Deni limepungua kwa sh elfu 21 but salary slip inaonyesha nimekatwa kiwango cha siku zote. Sent from my Infinix...
Back
Top Bottom