Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

acha uongo hiyo sheria nitakuleta hapa unionyeshe hicho kifungu kinachoeleza fedha.
Kimsingi TLS ndio wanaweka miongozo ya fees mbalimbali za kuchargiwa na wanachama wao kwa wateja watakaokutana nao.
Halafu elewa sio all commissioners of oath and notary public ni members wa Tanganyika Law Society mfano Ma DAS, ma state attorneys, au magistrate or judges
  • hujui Sheria, kasome sheria ya notary public and commissioner for Oath (amendment of the first schedule) of 2014 item (G ) imesema kuthibitisha nyaraka ambayo haizidi maneno 100 ni shilingi 20,000/-
  • inaonekana sheria hujui kiazi, kasome schedule utaelewa uondoe umbumbumbu
 
Yaani mambo ya mihuri ya wakili sijui viapo kucertify vyote nenda mahakamani hawana mambo mengi utafanyiwa kwa Bei nzuri tu,nakumbuka kipindi nataka muhuri kwenye ile form ya loansboard watu walinitisha na mabei makubwa siku hiyo nikaenda mwenyewe mahakamani nilivyofika mapokezi nikasema tu shida yangu huyo dada kachukua form yangu kaipeleka ikapigwa muhuri akaniletea haikuchukua hata dk 10,nilimpa tu yule dada 2000 ya Asante.
 
kwa mujibubea sheria ya commissioner of oath and notary public section 10 wanaoruhusiwa kuthibitisha nyaraka sio hao uliowataja tu hadi maafisa mambo ya nje wanaruhusiwa ku certify nyaraka
-yaani hata jina la sheria lenyewe hulijui kuliandika vizuri eti commissioners of Oath and notary public, sheria hiyo inaitwa The Notary public and commissioners for Oath Act, matumizi ya 'of' na 'for ' bado ni tatizo
- halafu umesoma UDSM 'The home of intellectuals ' intellectual gani hajui kuwa Kuna schedule ya sheria iliyosainiwa na CJ?
 
kwa mujibubea sheria ya commissioner of oath and notary public section 10 wanaoruhusiwa kuthibitisha nyaraka sio hao uliowataja tu hadi maafisa mambo ya nje wanaruhusiwa ku certify nyaraka
- halafu sio section 10 ni section 11 ona ulivyo kiazi mbatata
 
-yaani hata jina la sheria lenyewe hulijui kuliandika vizuri eti commissioners of Oath and notary public, sheria hiyo inaitwa The Notary public and commissioners for Oath Act, matumizi ya 'of' na 'for ' bado ni tatizo
- halafu umesoma UDSM 'The home of intellectuals ' intellectual gani hajui kuwa Kuna schedule ya sheria iliyosainiwa na CJ?
"Written Laws (Micellaneus Amendments) (No. 2)
24
___________
“THIRD SCHEDULE
_____________
(Made under section 9)
____________
FEES FOR CERTIFICATES
AMOUNT
Fees payable on application of a
certificate to practice as a Notary
Public and Commissioner for Oaths.
Tshs. 50,000
Fees payable on each annual
application for renewal of the
certificate.
Tshs. 40,000
Fees payable on application for
replacement of lost, destroyed or
mutilated certificate.
Tshs. 10,000

Savings 76. The coming into force of section 4 shall not affect any decision
made on an affidavit filed in court before the date of coming into force of
that section. "
PART XII
AMENDMENT OF THE PUBLIC LEADERSHIP CODE OF ETH

hiyo ndiyo schedule ya amendment hizo hakuna fee ya kucertifai document usifanye watu vilaza document zote hizo zipo mtandaoni.
Wewe utakuwa advocate njaanjaa acha kupotosha vijana
pumbavu mkubwa wewe
 
"Written Laws (Micellaneus Amendments) (No. 2)
24
___________
“THIRD SCHEDULE
_____________
(Made under section 9)
____________
FEES FOR CERTIFICATES
AMOUNT
Fees payable on application of a
certificate to practice as a Notary
Public and Commissioner for Oaths.
Tshs. 50,000
Fees payable on each annual
application for renewal of the
certificate.
Tshs. 40,000
Fees payable on application for
replacement of lost, destroyed or
mutilated certificate.
Tshs. 10,000

Savings 76. The coming into force of section 4 shall not affect any decision
made on an affidavit filed in court before the date of coming into force of
that section. "
PART XII
AMENDMENT OF THE PUBLIC LEADERSHIP CODE OF ETH

hiyo ndiyo schedule ya amendment hizo hakuna fee ya kucertifai document usifanye watu vilaza document zote hizo zipo mtandaoni.
Wewe utakuwa advocate njaanjaa acha kupotosha vijana
pumbavu mkubwa wewe
- ushaonekana kiazi,
-nenda kasome The notaries Public and commissioners for Oaths Act (Amendment of the first schedule) Notice 2014, item G
  • Unakopi na Kepesti unaleta hadi Mambo ya Public leadership code of ethics
  • Mimi siyo Advocate, kujua sheria ya Notaries Public and commissioners for Oaths Act hakukufanyi kuwa 'Advocate' otherwise utakuwa kiazi tu
 
ninaifahamu sana huyo sheria haina kifungu kinachoelekeza kuhusu gharama
Hiyo sheria inataja watu wenye hadhi ya kucertify documents tu.
Hiyo sheria inawataja pia District Administrative Secretary pia ni commissioner. of oath and notary public so mtu anaweza kwenda ofisi ya mkuu wa wilaya akaonana a DAS akamcertifaiya vyeti vyake bure kabisa.
Pia ma state attorneys ni maccommissioners of oath and notary public mtu anaweza kwenda ofisi ya Attorney General mkoa wowote wakamcertifaiya vyeti bure kabisa.

Mahakimu pia ni ma commissioners of oath ukienda mahakamani ukaonanna na hakimu mwenyewe anakucertifaiya vyeti bure kabisa .achana na makarani wana njaa ndio wanaombaga elfu tano ukiwa na vyeti hata 100 wanakucertifaiya ukiweza kuonana na hakimu mwenyewe atakufanyia bure kabisa
Ma advocate wengi ambao pia ni ma commissioner of oath ndio wanacharge fee kwani wengi wanagharamia mihuri yao kwa kulipia TLS na pia labda wana ofisi wanalipa kodi.
Hao niliowataja hapo juu watacertify vyeti na watakugongea mhuru wa District administative secretary, au wa state attorney au wa resident magistrate mihuri ambayo hailipiwi TLS, na ofisi zao ni za umma na wanalipwa mishahara na serikali ila ni ma commissioners of oath and notary public kwa. mujibu wa sheria .
Jamani vijana msiomplicate mambo sio lazima kwenda kwa ma advocate ku verifai vyeti kwani wengi watawachaji fedha ni wafanyabiashara.
Kuna maadvocate wanaojielewa wanaweza kukugongea mihuri bure kwenye vyeti kwa wanaohitaji ajira hawa ni malecture wa sheria mimi mfano by that time aliyenicertifaiya vyeti vyangu ni Professor Mchome by that time alikuwa dean faculty of law udsm nilikuwa nimemaliza udsm nikawanahitaji kucertify vyeti nikaenda udsm faculty of law kwa bahati nikamuona yupo ofisini kwake simfahamu hanifahamu nikamueleza shida yangu kwamba natafuta kazi nimeambiwa nipeleke certified copy ya academic certificates nikamuonyesha original na copy akanicertifaiya bure kabisa . tena na kumbuka mzee huyu akaniambia nimpatie copy nyingi anicertifaiye akanibidi nirudi stayionary nikatoe kopy nyinginyingi nikatoa kopy 10 kila cheti akanicertifaiya vyote na nikapata kazi kupitia certified copy alizonifanyia yeye.
wakati huo hakuna sekretarieti ya ajira wala kuomba kazi online unaambiwa upeleke certified copies hard copies kupitia posta .
Cha msingi ni kujiamini na kujieleza vizuri unamwambia mimi sina hela natafuta kazi naomba msaada wengi wa ma advocate wanaojielewa wanasaidia sana vijana watafuta ajira.
Mimi ninawashakaaji zangu kibao maadvocate vyeti ukieleza ni kwa ajili ya kuombea kazi wanacertify bure tu wanatoza fedha kwenye nyaraka za kibiashara au kadi za magari.
Kwa mimi binafsi sioni ulazima wa kijana mtafuta ajira kutumia gharama kucertify vyeti

Mkuu umeeleweka sana
 
Sisi ambao tulifungua account kitambo kidogo na tuka-upload vyeti ambavyo haviko certified itakuwaje!? Na mnasema system haina option ya ku-edit manake vyeti vitabaki hivyo hivyo visivyo na mihuri...kwamaana hiyo haitawezekana kuwa shortlisted kabisa au??
Nimetoka kuchange vyeti now, ni rahisi sana
 
Ndio, ukiingia kwenye mfumo nenda kwenye cheti husika Kisha bofya neno edit then utaweza ona sehemu ya kuapload copy ya cheti ambayo in muhuri wa mahakama
anhaa oky hapo nimekupata sababu nilikuwa sijaelewa nikazani labda hiki Cheti OG ndo kinagongwa muhuri tena...
Na kwa maaana hiyo nikienda mahakaman inabd niwe na copy..?
 
Kwa ambao tayari mmefanikiwa kuitwa utumishi, hivi cheti Cha kuzaliwa unakiweka wapi katika mfumo wa utumishi (ajira portal)?
Nacho ni lazma kiwe certified?
 
Kwa ambao tayari mmefanikiwa kuitwa utumishi, hivi cheti Cha kuzaliwa unakiweka wapi katika mfumo wa utumishi (ajira portal)?
Nacho ni lazma kiwe certified?
Kwenye other attachments,Kuna segment 3 pale utaona iyo option ya kuattach birth certificate.Academic certificates ndo wanataka ucertify...Ila kwa Hali ilivyo Sasa km unaweza kucertify Bora ufanye Ivo
 
Kwenye other attachments,Kuna segment 3 pale utaona iyo option ya kuattach birth certificate.Academic certificates ndo wanataka ucertify...Ila kwa Hali ilivyo Sasa km unaweza kucertify Bora ufanye Ivo
Shukrani sana nimepaona
 
Iyo App ina matatizo mengi sana

Nimejaribu kumsaidia dogo ku apply izo ajira za TRA na Profile yake inasoma 100% kila nikijaribu inaniambia failed zile namba zao za huduma kwa mteja hazipatikan hii inch bhana
Mm ya kwangu haifunguki nilipopiga kwenye zile namba za huduma kwa wateja aliyepokea amemjibu wala cjui hizo habari za ajira portal
 
Back
Top Bottom