Recent content by future mind

  1. future mind

    Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Ni dhambi gani hii!! Mdada mzuri ameumbika niliyewaza kumfanya mama watoto then nakutana na haya imeniuma sana! kwanini imekuwa hivi... Wanaume wenzangu kuweni na huruma wazeni kesho yao wanaumia sana.... Yani tumepiga shoo weee naona haridhiki kumbe mtoto hadi umfanye nyuma ndio afike mwisho...
  2. future mind

    Nina gari mitsubishi canter tani 3.5. natafuta kazi ya kubeba mizigo

    Nina kazi yakusambaza bidhaa za madukani kama sukari,unga,mafuta nk. Kama utaiweza nicheki
  3. future mind

    Serikali imetumia vigezo gani kuwapata vijana wa kuwapa mafunzo ya kilimo kwa ajili ya kuwapa Mashamba?

    Majibu yametoka kwani ? Mimi nilijaza hiyo form hadi sasa sijapata majibu yoyote Kama yametoka tuuze ni kwa njia.
  4. future mind

    Nataka nizalishe kuku wa kienyeji laki moja ndani ya miaka mitatu

    [emoji1][emoji1]kwaiyo mwamba anaota?
  5. future mind

    Plot4Sale Shamba ekari 500 linauzwa

    Too good to be true..anatafutwa mtu hapo kuangushiwa kitu kizito
  6. future mind

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Nimecheka kwa sauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. future mind

    JamiiForums Usiku wa manane

    2.40 kiza kinene
  8. future mind

    Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] elfu2! ivi broo wew ukijaribu kipiga hesabu zakitoto tu iyo buku bee afanyie nini!? Ebu kwanza gas ipo au ndio hapo hapo akapime mkaa!? Tafuta hela broo hapo hata kusaidiwa utasaidiwa buku bee sio hela yakuachia familia.
  9. future mind

    Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    Mmh! Hii gharama mbona kama yakimchongo au upo mkoa gani mkuu!? maana naona hiyo inashia kwenye bati na mbao tu...tuweke wazi hiyo gharama sio halisi.
  10. future mind

    Kesho naondoka, siwezi endelea kukaa hapa. Siwezi acha anielewe vibaya ila nimeshindwa mimi...

    Sasa ufala wake uko wapi hapo! Wew kama una yamaana yakumueleza siuyaanzishe? Pia usimpime mtu kwa siku moja nakumuona fala siku azifanani...kama nimshiji naona amebadilika kiasi chakukushtua muulize kulikoni yaweza kuwa kuna mambo anayapitia unaweza ukawa msaada kwake kwa hata kwa ushauri.
  11. future mind

    Ajira Portal

    Wanakupa sababu gani yakutokukuita ? Kikawaida kama umefanikiwa kutuma maombi wanatakiw kukujibu ni kwann hawaja ku shortlist kwenye interview na mara nyingi wamekuwa wakifanya ivyo! na kama hawajakujibu niwajibu wako kupiga helpdesk kuuliza kwanini hujaitwa!
  12. future mind

    JamiiForums Usiku wa manane

    0454 Monday
  13. future mind

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Countdown 6days bila dhambi la punyeto Nakuchukia sana punyeto wew ni adui yangu mkubwa usirudie kuwa karibu nami! Eeh Mwenyezi Mungu nisaidie.
Back
Top Bottom