siku hizi ni kawaida kuahirishwa muda wa kuondoka hadi ijae, kikubwa ni kwamba hakuna abiria wa ndege hivyo mnakusanywa kidogo kidogo hadi ikijaa ndo iruke
za kwetu Arusha ndo zinaruka saa 6 usiku au 8 usiku na tushazoea
MAJIBU
1. sheria haitaendelea kumtambua kama mke wako hadi mkafunge ndoa bomani kwani ndo hiyo itakuwa imevunjika baada ya wewe kuwa muislam..(maelezo zaidi ktk jibu la swali # 2)
2. ukishakuwa muislam mkeo akibaki na dini yake ya ukristo ndoa hiyo itakuwa imevunjika..hakuna ndoa ya muislam na...
kuhusu wataalam jeshi la polisi linayo wataalam hasaaa, mimi ni raia na gari zangu mara zote VW huwa natengenezewa na polisi miaka yote toka miaka ya 2003, hakuna mafundi wataalam wa gari za kijerumani na kiingereza kama polisi, kuna karakana kilwa road wako wataalam wa kutosha
kukarabati gari ni sawa kabisa lakini sio iwe kazi ya RC tena kuhamasisha au kusimamia, jeshi la polisi lenyewe lilitakiwa likarabati magari yake manake tunajua kuna karakana za polisi kila mkoa na mapolisi ni mafundi wazuri sana wa magari sasa iweje iwe kazi ya mkubwa tena kuingia apo na...
hakuna usafi wowote unaofanywa watu wanakaa nje wanasubiri saa 4...
bora wangesema kila ofisi, duka wahusika wahakikishe mazingira yao ni safi ukaguzi unapita jmosi...ofisi nyingine na maduka yana watu wa usafi maalum wangeendelea na usafi wakati biashara zinaendelea manake uchumi umekuwa tabu...
ONDOA shule zote ambazo hazijawahi kulipiwa ada ya Tshs 8000 kwa mwaka, weka Forodhani, Arusha Sec, Arusha Day, na uwe na heshima ukitaja Tabora boys, Ilboru, Azania, usiweke na shule za kijinga jinga eti Feza boys mara Marian sijui shule zilizoanzisha baada ya ujio wa VAT toa apo
tuachane na ukubwa au upana, twende kwa tija na biashara..nenda Arusha kuna mitaa inaitwa kariakoo, hiyo tu inabeba biashara za Mwanza mji mzima..alafu tembea tembea ufuatilie madili yaliyoko Arusha mitaa tofauti ndo utajijibu uko Nairobi, Dar, au Arusha..
Mwanza dili ni samaki tu, ukitoka apo...
Kumbe nawe Jerry hujui kiingereza? huoni apo chini hiyo barua ya Barrick inasema kuna majadiliano yanaendelea na ni subject to approvals...iweje utuambie maneno yako ya ajabu apa
mimi nilichoka na mkusanyo wao wa mapato kibabe pale nilipalazimishwa nikaandikiwa kisa nimepita na taa njano wakati ile njano iliwaka nikiwa katikati ya junction na nyuma yangu kulikuwa na magari pia yalivuka kabla ya nyekundu kuwaka..swali ni je ilitakiwa nisimame pale kati iliponiwakia taa ya...
umeongea kisomi na kwa experience, i like it..ongezea pia kuwa msomi akianza kwenda semina Nairobi, Mwanza, Arusha, SA, ajiandae kulala na stress za kupigiwa mzigo na mabosi wa mkewe kama si colleagues, kifupi kupata mke mwema ni Mungu akupe awe msomi au si msomi wote wana changamoto zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.